Ulishawahi kujiuliza kuwa kuna siku utakufa? Na je, ukifa itakuwaje?

Mangi shangali

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
533
817
Natumaini wote wanzima humu...

Hii mada ni ngumu kidogo, ila yakupasa kuisoma yote maana ndo tunapoelekea huko.

Ulishawahi kujiuliza kuwa kuna siku utakufa? Na je ukifa itakuwaje?

Kila binadamu ataonja mauti,nakila chenye pumzi kitakufa tu. Hii dunia walishaishigi watu hatari, tena walioogopeka mfano.

Iddi amini dada
Osama bin laden
Adolf Hitler n.k

Lakini wote hao tushawazika,kama ndugu zako ushawazika basi na wewe kuna sikuutazikwa tuu hata iwaje labda ufe usionekane.

Unaishije na watu hapa duniani? Je, wanakuchukuliaje?

Leo nataka niwape hadithi tatu najua zitakuwa funzo kwenu ndugu zangu.

hadithi ya kwanza niya baba yangu.

Baba yangu alikuwa anafanya kazi bank,tena bank kubwa sana,kipindi nikiwa bado mtoto sana mama alinisimulia kuwa aliacha kazi kwa njia za ajabu sana.

Yani kahamka asubuhi akaandika barua ya kuacha kazi bila sababu yeyote,ila nachojua hakukosa sababu ya kuacha kazi maana hakuna kitu kisichokuwq na sababu.

Mzee kaacha kazi kasota mtaani mwisho wa siku kawafundi shoe shine, akapata kazi geita gold mine kuwa muhasibu kule wakawa wanamlipa vinzuri, mzee akapata mwanamke huko pesa alizokuwa analipwa kama mshahara akawa anazitumbua na huyo mwanamke mwisho wa siku kazi kafukuzwa na mwanamke akamkimbia, akarudi kwetu mama akampokea bila kinyongo mzee akaanza kuugua kisukari mama kaparangana kumuhudumia kila pesa ikaisha kwa mzee mwisho wa siku akafariki.

Je, hapo umejifunza kipi?

@ hadithi ya pili ni ya mshikaji wangu tumekuwa pamoja toka tukiwa watoto.

Yassin wazazi wake walimlea kwa kumdekeza shule akawa hana akili,wazazi wakamtoa hizi shule za kata wakampeleka shule za International ila bado akili hakuna,jamaa akafeli darasa la Saba akawa yupo mtaani tu, bado mama yake akawa anaendelea kumlea kimayayi mwisho wa siku mama yake yassin akafariki, yassin akawa mlevi naye pia akafariki.

Je, hapo umejifunza kipi?

@ hadithi ya tatu ni yako wewe ndugu yangu.

Nimeandika ili kukupa funzo ndugu yangu, kama unafamilia au bado ujabahatika kupata watoto, jitahidi sana kuwalea watoto wako katika maadili yanayofaa.ebu watengenezee watoto wako njia nzuri hata siku ukifariki wawe ushawachorea ramani ya maisha yao.

Wewe utakufa tu je watoto wako utawaachaje?

Jaribu kukaa chini na watoto wako na uwajenge kukabiliana na kutokuwepo kwako siku moja.

Kama mimi ningeishi kusema baba alitutenga nami ningefuata mkondo wake, ila katika malenzi aliyonipa mama yangu ya kujitegemea mwenyewe ndo yaliyonisaidia mpaka leo,daima mama yangu alikuwa ndo baba hapo hapo mama ndo kanijenga kiakilia.

BASI NDUGU MWENYE WATOTO ZUNGUMZA NA WATOTO WAKO LEO..
MANGI SHANGALI.

godless u..
 
Yaan ule Uzi wa kule hujamaliza unaanzisha mwingine, unakwama wapi arifuuuuu.
Mbona unakwenda Ile fasta ya ngiri mkia mjuu jombaaa
 
Maisha hayana subiri chalii
Mbona kule mpera mpera ila nimekaa chini nikaona niandike hili kabila sijasahau.
Hii ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom