Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 567
- 1,551
Ni wazi kuwa Awamu ya nne itabaki kuwa Awamu pekee ya kidemokrasia. Tunadiliki kusema Kikwete ni baba wa Demokrasia.
Hongera sana JK Mungu akutunze. Ni Awamu pekee watu walipingana kwa hoja ndani na nje ya CCM na Bado walibaki pamoja.
Hali haikuwa hivyo katika Awamu ya Tano. Ilikua Awamu ya ubatizo , ilikua Awamu ya kujua nani mwanasiasa nani kanjanja.
Awamu ya Tano ukifanya yasiyo tarajiwa. Ikafikia wale walio onekana kama miamba kama akina Waitara kumbe ndani ni tepetepe wakajulikana.
Sasa hapo ndipo kukazaliwa taaluma mpya ya Uchawa. Hii taaluma imeonekana kuwa njia ya mkato sana katika kufanikisha mambo. Matunda yake ni yaharaka sana. Garama zake ni Mdomo na kujitoa ufahamu. Inahitaji kujizima data tu, yaani uwe kituko flani na ukasuku wa kusigia chochote, ni kusifia tu.
Sasa kama Awamu ya Sita ingakutana na jamii ya Awamu ya nne. Jamii ya kuhoji na kujibu hoja.Jamii ambayo Rais alitoka hadharani kuongelea sakata la Escrow account. Achana na Awamu hii ya kujificha na kuachia watu wa hovyohovyo akina Tivuake na Mwijako ndio wasemee jambo nyeti.
Ukweli siioni Awamu hii ikitoboa mbele ya Awamu ya kuhoji kama ya Awamu ya nne.
Nasemaje!! Magufuli effect ndio nguzo pekee ya kufanikiwa kwa Awamu hii.
Basi kama mnabishi fanyeni kama Awamu ya nne au Mkumbukeni JPM basi, sio siku ya kumkumbuka ndio mnapanga matukio mengine wakati siku zipo nyingi tu.
Babiani mbaya kiatu chair dawa.