R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,138
Unaweza ukajipa moyo kwamba waliachana kwa ugomvi na pengine baba wa mtoto hakutoa chochote tangu asikie mwanamke kapata mimba, waweza kudhani jamaa ndio basi tena kahsribu hawezi kuwa tatizo.
Kiufupi ni ngumu sana mwanamke kumuacha kirahisi mwanaume aliemtunga mimba hasa ya kwanza ile inayompa status ya kuitwa mama flani , hadi kaamua kuchukua maamuzi alee mimba miezi 9 si kitu kidogo.
Kuna kipindi itafika tu ataanza kuomba ruhusa ampeleke mtoto kwa baba yake, tena nae mtoto anaweza kuanza kukuita uncle ama kwa jina lako ila baba ni jina atalomtunzia huyo babake wa kibailojia, hii hasa kwa watoto wa kiume.
Mambo yanayoendelea huko pindi wakiwa wao bila uwepo wako ndio sumu inayoweza kuleta simanzi kwenye mahusiano yenu