Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke kwa mara ya kwanza akakubali kuomba wapime kwanza,Je,Tatizo huwa ni nini kwa wanaume?

Je, ni kumuamini mwanamke kwa macho?

Je, ni kutokana na uzuri wa mwanamke uliyemtongoza ndiyo unachangia kudhani hana magonjwa mpaka kudhani vipimo having maana?

Kwanini mwanamke hata akitongozwa na mwanaume Handsome na mwenye hela cha kwanza huwa ni kutaka vipimo tofauti na mwanaume?

Mwanaume anapotongoza pisi kali ikakubali yeye hawazi suala la kupima kabisa huwa anawaza namna ya kumshughulikia huyo mwanamke kwa fimbo za mianzi iliyotukuka!

Shida huwa ni ipi wanaume hatupendi kupima wanawake tunaokutana nao?
 
Mkuu sema ni wewe ndo imekutokea hivyo. Siyo wote wanaume wanaombwa kupimwa.
Mkuu kwa usalama wa maisha yangu sijawahi kutembea na mwanamke bila kupima, hili nimelitolea mfano kwasababu ndivyo lilivyo huko mtaani wanaume kuwaamini sana wanawake ila ni ngumu sana wanawake kuwaamini wanaume hadi wapime.
 
Kwa uzoefu wangu ni nadra kwa mwanamke kutaka kupima kabla ya tendo ni nadra zaidi kwa mwanamke kuhamasisha matumizi ya kinga kwenye ngono.

Mara nyingi mwanamke akiridhia kulalwa basi ujue ndio keshakuamini. Hofu pekee wanayokuwa nayo ni ujauzito.
Napinga hoja yako mkuu.

Huyo mwanamke labda awe kahaba pekee,lakini mwanamke amekupenda na anaona wewe unaweza kuwa mumewe,jambo la kwanza ukimlazimisha sana umkung'ute mwanzi ni lazima atataka kwanza mpime ndiyo umkule,tofauti na hapo labda awe malaya.

Lakini pia tofauti na hivyo,kwanini mwanaume amuamini mwanamke kiasi kwamba wasipime kwanza?
 
Wanawake wakishapenda ukiwa nae kwnye sex usalama wake unakuwa nao ww mwanamme... katika wanawake 10 ni mmoja huwa anaulizia ndom
 
Back
Top Bottom