ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu. Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa imetumika kuwapiga Houth na hakuna kilichobdilika. Vita enzi hizi ni ngumu kushinda

    Siku ya mwanzo Marekani na Uiengereza walipoanza kushambulia Houth kule Yemen maeneo karibu 85 ya Houth tuliambiwa yamepigwa na picha za moshi ukifuka tukarushiwa. Kuna watu walijua Houth imeisha lakini siku iliyofuata Yahya Sarea akatoa tangazo kulenga meli nyengine na watu hawakuamini. Baada...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kushika nafasi za juu ukishakuwa chawa

    Kwema Wakuu, Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa. Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Raia walia na hali ngumu ya maisha chini ya Rais Tinubu

    15 FEBRUARY 2024 Kano City, Jimbo la Kano Nigeria WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0 Watuma ujumbe mzito, raia sasa wagombania makabi ya mpunga badala ya mchele kutokana na ughali wa maisha na kumtahadharisha...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania hivi kwa nini waafrika kuzimia ni ngumu sana kwenye vipigo

    ili swali najiuliza sana yani ukilinganisha na wenzetu ambao sio asili ya afrika.unaweza kumpiga mzungu ngumi tatu za kutosha muda sio punde kazimia. ila huku kwetu mwizi anatandikwa na wananchi kama mia lakini bado yupo tu.kipondo cha FFU,polisi au wajeda lakini bado hupo tu. au tuna nguvu za ajabu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ikianza kuwa ngumu unaanza kujikosoa, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"

    Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia, itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo: Hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani

    "Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana pesa ya kununua, watu hawawezi kuendesha maisha, wachumi watakuwa wananielewa (mimi sio mchumi) nimesoma mahali hali ya mtu kuwa na mahitaji lakini hana pesa na naliongelea kwa sababu ni Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ambayo inaratibu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ngumu kuwatenganisha wanawake wa siku hizi na vizinga

    Hawa dada zetu wana hali mbaya ila ukiitizama ni ya kujitakia na ndio maana wengi wao wana tamaa ya fedha. Based on utafiti nilioufanya kwa wanawake ambao ni marafiki zangu. Ukichukua sample ya wanawake kumi, basi nane au zaidi wanacheza michezo au vikoba. Hapo unakuta katika hao nane, zaidi ya...
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

    Natumia nguvu nyingi sana nisimoigie yule mwanamke ila sijui kama ntafanikiwa, Upweke ni jambo gumu sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuishi na watu wenye tabia ngumu makazini

    Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao , ni kweli wapo watu wana tabia ambazo ni ngumu kuvumilikika kiasi cha kufanya wengine wakose amani...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  12. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio wengi waleo wanatumia dildo na kusagana ni ngumu sana kwa wanaume kuwaridhisha

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za kiume ila ukweli ni kwamba mtindo wa maisha wa wanawake wengi ni ngumu sana kuwaridhisha Zaman ilikua...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Saint Francis huwa hawaibi mitihani, Wana mifumo mizuri ya kumfanya mwanafunzi awe kasuku wa kuweza kujibu NECTA, ni ngumu sana Kasuku kukosea

    MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI. interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku. KUTRAIN KASUKU mfumo wao wa kutrain kasuku ni...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mguu aliyoondokea Chongolo unavyoweza kukaribisha zama ngumu CCM

    DANIEL Chongolo kujiuzulu ukatibu mkuu CCM, linaweza kuwa jambo lisilo na uzani mkubwa. Mguu ambao ameondokea, unaweza kuchora mstari wa ujio wa zama za tofauti kabisa. Kwa uongo au usahihi wa tuhuma za Chongolo, zilizomfanya aandike barua ya kujiuzulu, zinachagiza mwanzo mpya. Chongolo...
  16. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya anga ndio sayansi ngumu zaidi duniani ?

    Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ? Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
  17. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Hamna kazi ngumu upande wa IT kama ku upgrade software

    Skia tu kwa watu Ku-upgrade sytem kutoka version moja kwenda nyingine sio shuhuli nyepesi, ni bora kufanya development upya
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji wa ajiraTanzania kwa sasa ni ngumu sana

    Kutokana na uzoefu wangu. Kwa sasa Tanzania ajira ni adimu kuliko wakati wowote ule. Wakati mnapiga makelele ya mgao wa umeme. Kaeni mkijua graduates wanasota sana huku kitaa bila maelezo. Miaka kumi iliyopita ajira Tanzania zilikuwa za kumwaga hali haikuwa hivi. Kuna kila dalili kabisa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

    Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
  20. Muki1

    JamiiForums Tanzania Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
Back
Top Bottom