Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI.
interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku.
KUTRAIN KASUKU
mfumo wao wa kutrain kasuku ni kuwalazimu wanafunzi kutumia muda mwingi kujua namna ya kujibu maswali mazingira yao ni mazuri ila ni kwajili ya kusolve maswali si kwajili ya kuotea jua ama michezo
bonasi na zawadi nono pindi matokeo yakitangazwa zinawapa walimu presha kubwa ya kufundisha wanafunzi kujua namna ya kujibu maswali ya necta.
KUIVA KWA KASUKU
kufikia form 4 kwenye mwezi wa sita kila mwanafunzi anakuwa kama kasuku, yaani kuanzia definition, factors,advantages, feautures, n.k. wanaweza kuzijibu kama mashine ya kutoa kopi, past papers wanakuwa wameshasolve zimekuwa kama kiitikio cha muziki hakuna swali jipya mbele yao
KUMALIZA KAZI
wanachosubiri hapo huwa ni kuimba wimbo waliofundishwa, hata wanavyojibu mitihani yao unaweza kudhani ni mtu moja kaandika, hata wasahishaji hawapati taabu sana ni kama unasahisha kopi zilizochapishwa.
Matokeo yao wengi huwa ni division one za tarakimu moja yani 7,8 na 9 full stop !! wale wanaopata 10 na kuendela huko huonekana kama wamefeli.
ANGUKO LA KASUKU -
Pindi wakihamia shule nyingine za form 5 ama kwenda kuanza chuo, wengi huwa hawawezi tena kupata division 1 za points 3 form 6 ama first class vyuoni, ni kwamba yale mazingira ya kuwa kasuku yanakuwa hayapo tena na pia ule uhuru wanaopata wa kujiamulia wasome muda gani unaweza kuwachanganya maana huko walikotoka walikuwa wanasimamiwa kusoma.