ngono

  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

    Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini. Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake. Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu 6 walioonekana katika video ya watoto wakiigiza ngono wafikishwa Mahakamani

    Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi. Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma. Walimu hao walikamatwa...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mbona kuoa wake wengi kama hoja kuu ni ulafi wa ngono tu?

    Wasalaam wana JF Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
  4. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kitendo cha Mwanamke kujisaidia wakati wa Kujifungua ni ishara kuwa alishiriki ngono kinyume cha Maumbile

    Mdau wa JamiiForums anaomba kufahamu kama kitendo cha mwanamke kujisaia wakati wa kujifungua huhusishwa na kushiriki tendo la ndoa kinyume cha maumbile. Ameuliza swali hii baada ya kuwepo wa sintohamu kubwa miongoni mwa watu ambapo baadhi husema ni jambo la kawaida huku wengine wakipinga...
  5. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

    2020 Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu. Maskani ya vijana wengi wa dar hua inakua opposite na gheto la mwamba mmoja ambaye hua ametoa ruhusa ya mwana yoyote kati...
  6. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Ngono na mtu aliyejeruhiwa

    Habarini Wana JF, Nina swali kidogo. Hivi mtu aliyejeruhiwa kichwani mfano kukatwa na panga kwenye utosii anaruhusiwa kufanya mapenzi au mpka apone kabisa? Na je, akifanya hajapona kuna madhara gani?
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura na Jeshi lako, Kurusha Picha za "Wanawake wafanyabiashara ya Ngono", mitandaoni, ni Uvunjaji wa haki za Mwadamu... hatua zichukuliwe.!!.

    Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona. Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wadau washauri Vyombo vya habari viwe na Dawati la Jinsia kukabili rushwa ya ngono

    Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu: 'Vijana epukeni ngono kabla ya ndoa'

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amelitaka Bunge la Vijana kutoka na azimio ambalo litawaasa vijana kujiepusha na masuala ya ngono kabla ya ndoa. Zungu ameyasema hayo leo Alhamisi Disemba Mosi, 2022 wakati akifungua Bunge la Vijana ambalo limeanza vikao vyake vya siku tano katika ukumbi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono 'inavyobemenda' Masomo na Ajira nchini

    “RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.” Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
  13. Justdr

    JamiiForums Tanzania Je wajua unaweza kuambukizwa VVU/UKIMWI hata kama uliyefanya naye ngono zembe umempima na majibu yamekuja Negative?

    Habari za muda huu? Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  15. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Miguno yake ilifanya nimtongoze na kumchakata

    Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa nimeokoka sikutaka kumpigisha story. Yeye alikuwa anachati, kuna...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais asema rushwa ya ngono vyuoni imekithiri

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi. Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo. Ameweka...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waathirika wa Ebola watakiwa kuacha Ngono kwa siku 90

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona. Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Anaandika, Robert Heriel, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni. Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Magoha aishauri Serikali kufunga tovuti za Ngono kuokoa Vijana

    Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana hasa wanafunzi dhidi ya athari hasi za tovuti hizo. Amebainisha kuwa pamoja na kuwa dunia...
Back
Top Bottom