Hajawahi kuwa mpenzi wangu ila kila nikiota ndoto namuota nashiriki naye mapenzi

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
351
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile zilikuwa day schools tulikuwa pia na muda mwingi wa kuonana na kupiga stories, lakini hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Baada ya kumaliza form 4 ndio ukawa mwisho wa kuonana nae mpka sasa ni takribani miaka 10, sijaonana nae wala kuwasiliana nae. Kwa sasa yeye ameolewa mkoa fulani na ana watoto 2, ni mtumishi wa serikali.

Issue ni hii... Toka nimeanza kuota ndoto nyevu (Kubalehe), mtu ninaeota nafanya nae mapenzi ni yeye mara nyingi. Toka enzi hizo tupo wote mtaa kukiwa shule, mara nyingi nilikuwa naota nafanya nae mapenzi na nikishtuka nakuta nimemwaga kabisa, mpka sasa ni kijana mkubwa tu lakini hata usiku wa kuamkia leo nimeota namgegeda na nmeshtuka nmemwaga!

Kuna maswali mengi sana najiuliza ila majibu sipati, linaonekana ni swala la kiroho sana, kuna wakati nahisi nina yale mapepo machafu.

Wakuu kuna issue gani hapa na kama ni mapepo kwanini yatumie sura ya huyu dada mara zote???
 
Hapo zamani wewe ulikua unampenda ila hukuweza mwambia, nayeye pia alitamani uwe boy wake enzi hizo za utoto ila hakuweza kukwambia, ila ki moyo moyo kila mtu alitamani ule urafiki uwe zaidi.

2nd. Kwavile yule ndio alikua katibu yako sana na mambo mengi hada furaha na ucheshi mlikua mki share nae sehemu yako kubwa ya ubongo imerecord furaha nae na kale ka jinsia ya Me kalikokua kakitamani ubusiano nae ila wewe hukuweza kuwa nae hisia zilitamani uwe nae zikawa zinarecord mtu aliyevutika ni huyo.

So sasahiv yanakuja matokeo ya yale uliyoyazika miaka hiyo.
 
At least nimenote kitu kwenye comment yako, lakini simfikirii hata kdgo mkuu nikiwa hai, anakuja ndotoni tu, halaf sio ukubwani tu toka enzi hizo..
 
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile zilikuwa day schools tulikuwa pia na muda mwingi wa kuonana na kupiga stories, lakini hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Baada ya kumaliza form 4 ndio ukawa mwisho wa kuonana nae mpka sasa ni takribani miaka 10, sijaonana nae wala kuwasiliana nae. Kwa sasa yeye ameolewa mkoa fulani na ana watoto 2, ni mtumishi wa serikali.

Issue ni hii... Toka nimeanza kuota ndoto nyevu (Kubalehe), mtu ninaeota nafanya nae mapenzi ni yeye mara nyingi. Toka enzi hizo tupo wote mtaa kukiwa shule, mara nyingi nilikuwa naota nafanya nae mapenzi na nikishtuka nakuta nimemwaga kabisa, mpka sasa ni kijana mkubwa tu lakini hata usiku wa kuamkia leo nimeota namgegeda na nmeshtuka nmemwaga!

Kuna maswali mengi sana najiuliza ila majibu sipati, linaonekana ni swala la kiroho sana, kuna wakati nahisi nina yale mapepo machafu.

Wakuu kuna issue gani hapa na kama ni mapepo kwanini yatumie sura ya huyu dada mara zote???
nafsi zenu zilishakuwa na ndoa kwa hiyo wewe hata ukioa mwanamke mwingine hawezi kukaa sawa kama yeye na inaelekea ndivyo yeye huko alipo.
huitaji huduma kubwa ila ni kukubali kuwa hiyo imeisha na mwamini binti mwingine.
 
Issue hapo naona we ni Domo Zege sana
 
nafsi zenu zilishakuwa na ndoa kwa hiyo wewe hata ukioa mwanamke mwingine hawezi kukaa sawa kama yeye na inaelekea ndivyo yeye huko alipo.
huitaji huduma kubwa ila ni kukubali kuwa hiyo imeisha na mwamini binti mwingine.
Andiko lako limenigusa sana...kuna mambo sijayaambatanisha kwenye huu uzi ila ni kama umeyafahamu hiv...

Iko hivi zamani tukiwa wadogo akija nyumbani, ndugu zangu wote namaanisha babu, bibi, mama, baba, baba mdogo walikuwa kama wana mtania hivi kwa kumwambia 'mkamwana wetu huyoo' (nmetumia lugha ya kwetu). Na vile vile pia mimi nikienda kwao, yalikuwa kama maagano fulani japo kwa muda mrefu nmekuwa siamini katika mambo hayo.
 
Back
Top Bottom