ngono

  1. Nyoka_mzee

    JamiiForums Tanzania ‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

    Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya sex kwa muda mrefu, tofauti na mwanaume. Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika kuwekewa masharti haya magumu na watoto wa kike la kutokufanya mapenzi mpaka ndoa. Kidini na...
  2. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
  3. Janjawidi

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Kwa kweli mimi binafsi hiyo siku sikumbuki chochote ila najua hiyo siku ilikuwepo. Demu wangu wa kwanza simkumbuki ila nakumbuka zamaaaniii enzi za utoto za kucheza baba na mama. Mvua hizi ndo zinafanya watu tuwaze mengi...tukumbukie hapo unakumbuka nini wewe?
Back
Top Bottom