Ridhiwani Kikwete atoa neno kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mkonge

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
621
500
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo.

#KaziInaendelea.
 

Attachments

  • File size
    11.7 MB
    Views
    0

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
843
1,000
Kasemaje? Nilitaka kununua bando lon hela yangu imechukuliwa na tozo
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,523
2,000
Apewe unaibu waziri Sasa maana anao uzoefu wa kutosha kutoka home hadi mjengoni

USSR
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom