Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

Na hii ni habari ya Siasa?
Absolutely, YES..

Gwajima ni mchungaji na ni mwanasiasa mwanachama wa chama cha siasa kiitwacho CCM...

Kwa hiyo ni siasa 100%..

Labda nikutonye...

Atasema kuhusu ishu ya UVIKO 19 na chanjo yake na wanaomtupia maneno na kumchokoza...

Sasa anakwenda "kuwavua nguo" kwa maana ya ku - expose ujinga na unafiki wao...

Hapa Spika wa bunge Job Ndugai hatapona. Shemejie Dr Dorothy Gwajima hatapona...

Katika ibada ya leo J'mosi amegusa gusa kidogo kwa mbali japo haikuwa ktk ukamilifu wake. Ila tulimwelewa....
 
Tapeli tu na muongo. Kama ina muamini basi utakuwa Mwehu sio bure!
 
Absolutely, YES..

Gwajima ni mchungaji na ni mwanasiasa mwanachama wa chama cha siasa kiitwacho CCM...

Kwa hiyo ni siasa 100%..

Labda nikutonye...

Atasema kuhusu ishu ya UVIKO 19 na chanjo yake na wanaomtupia maneno na kumchokoza...

Sasa anakwenda "kuwavua nguo" kwa maana ya ku - expose ujinga na unafiki wao...

Hapa Spika wa bunge Job Ndugai hatapona. Shemejie Dr Dorothy Gwajima hatapona...

Katika ibada ya leo J'mosi amegusa gusa kidogo kwa mbali japo haikuwa ktk ukamilifu wake. Ila tulimwelewa....
Gwajima ni TAPELI la madhabauni.
 
Alishaufyata wiki iliyopita kwa kusema Samia ana nia nzuri tatizo ni wasaidizi wake na atakomaa nao, leo tena anataka kusema kitu gani?

Huyu msanii anajifanyia promo watu waende kanisani kwake aongeze sadaka, nothing else.
 
Roho yangu imefarijika sana alisema Yesu ni yeye yule jana leo na hata Milele

Aiseh Yesu ni mwanaume kweli kweli yaan kacorona kanapotelea mbali mbele ya Yesu

Nadhani gwajima akiongea habari za Yesu na Uana wa Ufalme anapendeza zaidi kulikoniakiwa kwenye siasa
Ila guys gwajima na polepole watawanyoosha waacheni
 
Leo sasa ndio atazungumzia hili
P
Nimeona lile "tangazo" la serikali (MoHA) linalotaka taasisi za kiraia kuomba leseni za miaka mitano mitano. Linafikirisha sana.
 
Kama kuna atakaye bahatika kuhudhuria hiyo ibada atujulishe pia iwapo mtumishi atasema neno kuhusu muvi yake mpya ya porn atai-release lini maana kulikuwa kuna fununu kuwa humo kuna mkasi wa hatari kufidia mapungufu ya toleo la awali na kukidhi kiu ya watazamaji
 
Absolutely, YES..

Gwajima ni mchungaji na ni mwanasiasa mwanachama wa chama cha siasa kiitwacho CCM...

Kwa hiyo ni siasa 100%..

Labda nikutonye...

Atasema kuhusu ishu ya UVIKO 19 na chanjo yake na wanaomtupia maneno na kumchokoza...

Sasa anakwenda "kuwavua nguo" kwa maana ya ku - expose ujinga na unafiki wao...

Hapa Spika wa bunge Job Ndugai hatapona. Shemejie Dr Dorothy Gwajima hatapona...

Katika ibada ya leo J'mosi amegusa gusa kidogo kwa mbali japo haikuwa ktk ukamilifu wake. Ila tulimwelewa....
Mnataka kutumia siasa madhabahuni kujiomgezea sadaka! Mnataka kutumia ugonjwa wa corona kujiongezea sadaka? Acheni upotoshaji. Kwamba corona haikuwepo, ni wakati gani corona iliondoka Tanzania tangia ilipoingia mwezi March 2020? Acheni ku mobilize sadaka kwa kupotosha watu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom