John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,476
2,651
Wasalaam,
Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.

img_1_1625687689545.jpg
 
Yupo sahihi wanapiga hoja ya katiba mpya wengi ni Madiwani na wabunge waliochaguliwa kuhuni mwaka Jana kwa maagizo ya jiwe wanataka mama awabebe tena 2025

Kimeumana hakuna kubebwa tena 2025
Huyu mama akiendelea kushika Maiki anaendela kuchuja kila uchao, ameishiwa pumzi mapema mno.
Leo kaongea upupu mtupu itafikiri yuko kwenye kampeni za ccm
 
Tungemuona wa maana Heche kama angemsema yule mwehu Mbozi aliyetoka kifungoni kwa hisanai na leo anatukana hayo hayo malaka yaliyomtoa kifungoni.

..mbona Rais SSH kamteua kuwa mkuu wa wilaya mwehu aliyesema atamchoma Tundu Lissu sindano yenye sumu?

..je, kwa kuteua wehu wanaotishia kuua wapinzani unadhani Rais ana dhamira ya kweli ya kuliunganisha taifa kama alivyodai ktk hotuba yake aliyoitoa bungeni?
 
Matendo yanaongea zaidi kuliko maneno.

"Nataka watu wote muishi kwa amani", kesho yake anamteua jambazi awaongoze watu wema!!!
 
Huyu mama akiendelea kushika Maiki anaendela kuchuja kila uchao, amwoshiwa pumzi mapema mno.
Leo kaongea upupu mtupu itafikiri yuko kwenye kampeni za ccm
Upupu kaongea mdude wewe huoni,mbona hamkosoani nyie kwa nyie.Mnaanza vichokochoko mbona mwamba alipokuwa hai hamkufanya.?
 
John Heche ni miongoni mwa watu wenye CHOKOCHOKO.....

#NchiKwanza
#AnayeletaChokochokoAdhibitiweVyemaTu
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom