Wadau, ndugu yangu (mwanaume) anatafuta kazi ya udereva. Umri wake ni miaka 40. Elimu yake ni kidato Cha nne. Anayo leseni class C. Anao uzoefu wa miaka 15 akiendesha watu binafsi/mabosi/viongozi lakini pia magari makubwa ya masafa marefu.
Makazi yake ni jijini Dar es Salaam akiwa na mke na mtoto. Yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania. Ni mtu smart na anayeipenda kazi yake.
Nawasilisha.
Makazi yake ni jijini Dar es Salaam akiwa na mke na mtoto. Yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania. Ni mtu smart na anayeipenda kazi yake.
Nawasilisha.