ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu

    Nisiwe mchoyo wa takwimu na data mzee wenu niliyejizika kwenye takwimu. Ndugu zangu 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu. Hizi ni takwimu za NBS ndugu zangu 'The 2021 Social Institutions and Gender Index (SIGI) - Tanzania Survey Report' Aidha wengi sana wanaachana kwa ugomvi badala ya...
  2. JamiiForums Tanzania MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
  3. JamiiForums Tanzania Muhimbili: Familia yaomba Serikali iisamehe deni la Tsh 10m ili wapate mwili wa ndugu yao mochwari. Profesa Janabi atoa utaratibu wa kuchukua mwili

    Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari. Mzee Swalehe alifariki katika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ebu kila mtu aweke hapa ujumbe wa valentine aliotumiwa either na mpenzi,rafiki au ndugu yake yeyote.

    Naanza na mimi
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wa ndugu yetu anaona aibu kurudi Tanzania tangu alipokwenda Marekani

    Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri. Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wachagga na Wamasai ni ndugu moja?

    Nilikuwa nasoma kitabu Desturi za Wachagga, by S. J. Ntiro, 1953. Jisomee mwenyewe. MLANGO WA 5 ASILI YA WACHAGGA Wachagga ni kabila lenye mchanganyiko wa makabila mengi sana. Makabila haya yameingia katika nchi ya Kilimanjaro katika nyakati tofauti. Makabila mengi yameingia Kilimanjaro...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

    Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa mvulana na msichana. Ilifika wakati maisha yakabana Sana jamaa yangu akalazimika kwenda mjini kuhenyeka...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba za Magomeni ndugu zangu mmeokota dodo!

    Nimesikia ndugu zetu wapangaji wa nyumba za Magomeni wanamuomba Mh. wauziwe nyumba zile kwa Tsh 17M? Kweli? Serikali imesema itawauzia kwa Tsh 48M (chumba na sebule) na 56 + (kwa nyumba kubwa), na hii inalipwa kwa muda wa miaka 15. Piga mahesabu yako vizuri kwa huyu atakaye lipa 56+...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na ndugu Bashe kuruhusu wakulima kuuza mazao popote wanapotaka

    Nimeona humu watu wengi sana wakiishambulia serikali Kwa kutozuia mazao kuuzwa nje ili kupunguza mfumuko wa bei. Ukweli ni kwamba serikali inaweza kuzuia mazao kuuzwa nje. Jambo hilo ni hatari sana Kwa mustakabali wa kilimo na wakulima wa Tanzania. Gharama za uzalishaji zimepanda sana, kila...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

    Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu miaka kadhaa imepita sasa, Umri wangu ni miaka 31 (sina mke wala mtoto), baada ya kuangaika sana kutafuta ajira mpaka kufikia kukata tamaa atimaye Mungu wa mbinguni, muumba mbingu na nchi akaniona na kunipatia kisehemu kidogo cha kujishikiza (project flani...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini polisi wanatutesa Sana sisi ndugu zao (raia)

    Habari za mchana ndugu zangu, Hawa polisi mbona wanatunyanyasa na hawakemewi na serikali. Juzi pale mataa ya ubungo walimkamata jamaa kwa kupaki bajaji sehemu isiyoruhusiwa, kwa kuwa walikuwa wamevaa kiraia jamaa aliwaomba kitambulisho maana walitaka wampeleke kituoni. Cha ajabu polisi mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  15. JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Na nyie NECTA toeni majibu ya kidato cha nne, ndugu zetu wamechoka kusubiri!

    Yatoeni bwana, watasubiri katika hali hii ya hofu hadi lini?!!!!!
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine walala matanga siku 10 wakisubiri mwili

    Ndugu wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamedai hadi sasa wametumia siku 10 kuusubiri mwili wa ndugu yao kwa kulala matanga. Taarifa zinaeleza kuwa kifo cha Nemes aliyekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya simulizi karibuni

    Habari za muda huu ndugu zangu Naitwa elikana, ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninafanya kazi ya sanaa za simulizi kwa njia za sauti "Storyteller" pia nafanya "Voice over", "Dabin voice" pamoja na fact mbalimbali za maisha,mapenzi n.K ▪︎elimu yangu mimi ni kidato cha nne na sijasomea vitu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwako rafiki Ndugu Robert Heriel

    Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo. Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza. Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…