Eng. Mos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,326
8,239
Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii.

Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama.

Kutokana na uhitaji wa ELIMU ya biashara ya Gesi ya Kupikia Majumbani (LPG),
ulionyeshwa na Wadau wengi (hasa Wauzaji wa LPG Tanzania) sasa KITABU kilichoandikwa kwa KISWAHILI kutoa ELIMU hiyo kinapatikana kwa Sh.50,000/=.

Kitabu hiki kinaelezea LPG ni nini/asili yake uzalishaji wake, Aina za LPG na zinazouzwa Tanzania, tabia zake visababishi vya bei kupanda/kushuka na Taasisi zinazohusika kudhibiti biashara yenyewe na gharama zinazohusika.Vile vile kinaeleza namna ya kupata faida na mambo ya kuzingatia kufanya biashara kuwa endelevu.

Pia Kitabu kinaelezea vitu vya usalama vya kuzingatia na kuna majibu ya maswali yapatayo 385 yaliyoulizwa na Wadau wa LPG wakati Bwana Amos Jackson (mtunzi wa kitabu) akitoa mafunzo ya LPG mwaka 2020 Tanzania nzima.

Mwisho kitabu hiki kinatofautisha kati ya LPG na Gesi Asilia inayopatikana Mtwara na Lindi.

IJUE BIASHARA YA GESI YA KUPIKIA

Kwa mahitaji piga namba zifuatazo:
+255 682 720 173
+255 627 537 257.

Imetolewa na Mwandisi AMOS JACKSON, mtunzi wa kitabu,
Mtoajiwa Mafunzo ya LPG na
Mkurugenzi wa kampuni ya SAROJOAH Enterprise Company LTD (SECOL)
1666180355616.jpeg
 
Back
Top Bottom