Msaada ndugu zangu nimekwama pakubwa. Naombeni mnisaidie

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
7,621
16,701
NAOMBENI MSAADA WAKUU.

Natanguliza shukrani.

Habari ya Weekend?

Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5.

Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana.

NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA.

Kufika home kwenye PC naweka movie Files zinaonekana lakini movie haziplay.

Files za Words zinasomeka
Files za nyimbo zinaplay.

CHANGAMOTO IPO KWENYE MOVIE KU PLAY.

Naamini hapa nitapata msaada wakuu.🙏🙏
 
Ina VLC media player mkuu.

Nashangaa sana TATIZO ni nini hasa yani.

🙏
 
NAOMBENI MSAADA WAKUU.

Natanguliza shukrani.

Habari ya Weekend?

Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5.

Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana.

NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA.

Kufika home kwenye PC naweka movie Files zinaonekana lakini movie haziplay.

Files za Words zinasomeka
Files za nyimbo zinaplay.

CHANGAMOTO IPO KWENYE MOVIE KU PLAY.

Naamini hapa nitapata msaada wakuu.
Movies zako zinasoma extension gani? mkv, mp4, vod n.k? Kuna app utakua umeiset kuzifungua as a default, umesema zinasoma kama word? au me ndo sijakuelewa hapa..
 
Movies zako zinasoma extension gani? mkv, mp4, vod n.k? Kuna app utakua umeiset kuzifungua as a default, umesema zinasoma kama word? au me ndo sijakuelewa hapa..

Nimechukua tu kwa Flash mkuu.

Nadhani zinasoma kama words.

Ila nahisi TATIZO ni Flash
 
Nadhani ishu ni flash.

Kikiiweka kwenye Laptop nyingine Bado haichezi movies.
 
Nimechukua tu kwa Flash mkuu.

Nadhani zinasoma kama words.

Ila nahisi TATIZO ni Flash
Inaweza kua shida sio flash. Bytha jaribu ku open then open with chagua VLC au media player yoyote yenye uko nayo uone kama hazitoplay
 
Back
Top Bottom