Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto.

Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si zaidi ya "wiki mbili".

--
Ujumbe wa Rais Museveni umesomeka hivi

Ndugu Waganda, Ndugu Wananchi wa Kenya na Wana Afrika Mashariki.

Nawasalimu wote. Tena, napongeza uchaguzi wa amani ambao ulifanyika nchini Kenya hivi majuzi ambapo H.E.William Ruto aliibuka mshindi. Mimi, tena, nampongeza kwa ushindi huo.

Nawaomba ndugu zetu wa Kenya watusamehe kwa tweets alizotuma Jenerali Muhoozi, aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Nchi Kavu hapa, kuhusiana na mambo ya uchaguzi katika nchi hiyo kuu.

Si sahihi kwa maafisa wa Umma, wawe wa kiraia au wa kijeshi, kutoa maoni yao au kuingilia kwa njia yoyote ile, katika mambo ya ndani ya nchi ndugu. Jukwaa la pekee lililo halali ni Utaratibu wa Mapitio ya Rika wa Umoja wa Afrika, au maingiliano ya siri kati yetu au vikao vya EAC na AU -sio maoni ya umma. Kwa nini basi, ampandishe cheo kuwa jenerali kamili baada ya maoni haya?


Below is Museveni's full statement.

Dear Ugandans, the brotherly People of Kenya and all East Africans.

I greet all of you. Again, I hail the peaceful elections that took place in Kenya recently where H.E.William Ruto emerged winner. I, again, congratulate him on that victory.

I ask our Kenyan brothers and sisters to forgive us for tweets sent by General Muhoozi, former Commander of Land Forces here, regarding the election matters in that great country.

It is not correct for Public officers, be they civilian or military, to comment or interfere in any way, in the internal affairs of brother countries. The only available legitimate forum is the Peer Review Mechanism of the African Union, or confidential interactions among us or EAC and AU fora –not public comments. Why, then, promote him to full general after these comments?

This is because this mistake is one aspect where he has acted negatively as a Public officer. There are, however, many other positive contributions the General has made and can still make. This is a time-tested formula –discourage the negative and encourage the positive.

Very sorry, ndugu zetu Wakenya. Also sorry to the Ugandans who could have been annoyed by one of their officials meddling in the affairs of brother Kenya.

I know for a fact that General Muhoozi is a passionate Pan-Africanist. However, the correct method for Pan-Africanists is confidential interactions or using the available fora (EAC and AU), especially if you are a Public officer. I have conveyed all those views confidentially to H.E. Ruto, the President of Kenya.

Signed: YK Museveni (Gen. Rtd.)The old man with a hat

ZAIDI SOMA HAPA: Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?
 
Rais Yoweri Museven wa Uganda ameomba radhi juu ya Tweets zilizowekwa na mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Jenerali wa Jeshi na Kamanda wa zamani wa Vikosi vya Ardhini.

Museven ametuma ujumbe wake kwa Wakenya akizungumzia kile alichokifanya Jenerari Muhozi kuwa hakikuwa sahihi kwa Afisa wa Umma, Mwananchi wa kawaida au Mwanajeshi kutoa maoni au kuingilia kati kwa vyovyote vile, katika mambo ya ndani ya nchi jirani.

=========================

Dear Ugandans, the brotherly People of Kenya and all East Africans. I greet all of you. Again, I hail the peaceful elections that took place in Kenya recently where H.E. William Ruto emerged winner. I, again, congratulate him on that victory.

I ask our Kenyan brothers and sisters to forgive us for tweets sent by General Muhoozi, former Commander of Land Forces here, regarding the election matters in that great country. It is not correct for public officers, be they civilian or military, to comment or interfere in any way, in the internal affairs of brother countries. The only available legitimate forum is the Peer Review Mechanism of the the African or confidential interactions among us or EAC and AU fora – not public comments.

Why, then, promote him to full General after these comments? This is because this mistake is one aspect where he has acted negatively as a public officer. There are, however, many other positive contributions the General has made and can still make. This is a time-tested formula – discourage the negative and encourage the positive. Very sorry, ndugu zetu Wakenya.

Also sorry to the Ugandans who could have been annoyed by one of their officials meddling in the affairs of brother Kenya. I know for a fact that General Muhoozi is a passionate Pan- Africanist. However, the correct method for Pan- Africanists is confidential interactions or using the available fora (EAC and AU), especially if you are a public officer.

I have conveyed all those views confidentially to H.E. Ruto, the President of Kenya.

Signed:

YK Museveni (Gen. Rtd.)
The old man with a hat
 
Ata sijazima ila naomba kuulizia mtoto mwenyewe anasemaje? Amekili kukosea ama
 
Huyo mtoto ameshaonesha hana akili, bahati mbaya baba yake anamjazia vyeo tu.
Dogo akishakula vyombo uwa anapost madudu kila siku ...Inabidi akilewa anyanganywe Simu labda itasaidia kwani kwenye tweeter wall yake kumejaa vituko vingi kuliko userious. Mfano baada ya hiyo Tweet wengi waliamua kumfollow so amepata followers 600K jana , akapost kuwa amefurahii sana kwa hilo na east africa wote ni ndugu zake na atataka nchi ziungane baba ake awe raisi yeye awe CDF🤣🤣
 
Dogo akishakula vyombo uwa anapost madudu kila siku ...Inabidi akilewa anyanganywe Simu labda itasaidia kwani kwenye tweeter wall yake kumejaa vituko vingi kuliko userious. Mfano baada ya hiyo Tweet wengi waliamua kumfollow so amepata followers 600K jana , akapost kuwa amefurahii sana kwa hilo na east africa wote ni ndugu zake na atataka nchi ziungane baba ake awe raisi yeye awe CDF🤣🤣
Msela ni comedian, kama Idd Amin, yani anaandika vile vitu vya kukera wasiompenda,😂 Ruto eti awe PM
 
Watu wame-overreact tu kwa mimi naona huyu ndie Nairobi aliekua anamzungumzia yupo kwenye Series ya MONEY HEIST👇Nairobi
Screenshot_20221005-160539.png
 
Back
Top Bottom