Juisi ya msumbiji na kiti Binafsi kanisani!Ni dhahiri Ndugu yetu ana hofu!!anaogopa Nini!?

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,535
17,478
Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?

Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti chake! Haamini kiti cha upako!?

Ina maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?

Anaogopa nani, nini, kwanini, kwa lengo lipi!?

Mungu ibariki Tanzania!
 
Wasiwasi akili, Samia.
thinkstupid.png
 
WAKUU

KWA wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?

Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza!kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida!juzi kwenda na kiti chake!haamini kiti cha upako!?

Ina Maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?

Anaogopa nani,nini,kwanini,KWA lengo lipi!?

Mungu ibariki Tanzania!
Acheni hayo mambo wakuu sio saizi yetu na sio mahali pake hapa
 
WAKUU

KWA wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?

Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza!kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida!juzi kwenda na kiti chake!haamini kiti cha upako!?

Ina Maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?

Anaogopa nani,nini,kwanini,KWA lengo lipi!?

Mungu ibariki Tanzania!
Heading ina hoja
Kwenye content naona ungeandika zaidi kujenga hoja
 
WAKUU

KWA wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?

Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza!kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida!juzi kwenda na kiti chake!haamini kiti cha upako!?

Ina Maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?

Anaogopa nani,nini,kwanini,KWA lengo lipi!?

Mungu ibariki Tanzania!
Anaogopa katiba, mpango anaweza kuokota dodo.
Yaliyompata JPM huyajui mkuu
 
WAKUU

KWA wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?

Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza!kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida!juzi kwenda na kiti chake!haamini kiti cha upako!?

Ina Maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?

Anaogopa nani,nini,kwanini,KWA lengo lipi!?

Mungu ibariki Tanzania!
Kwani wewe unataka umfanye nini hasa?
 
Back
Top Bottom