ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Luq

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita, nina uwezo wa kutumia computer vyema

    Habari zenu ? Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research kama research assistance na mashirika kama MDH na NACP. Nipo hapa wakuu kuomba msaada wa kazi...
  2. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

    Habari zenu wana JF wenzangu Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea. Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

    Baba yangu alifariki wakati nikiwa Mtoto mchanga hivyo nililelewa na Mama tu naye hakuwa na uwezo hivyo nilisomeshwa na wasamaria wema. Mtu pekee Aliyekuwa na uwezo wa kiuchumi ni dada aliyeolewa na yeye hakutaka mazoea kabisa. Kwa jinsi maisha yalivyokuwa magumu, nilipofika Chuo nikawa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tukio la ndugu wa Familia kufariki kwa moshi wa jenereta, ndugu adai marehemu walipigwa kabla ya vifo vyao

    Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka. Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

    Asalaam alykhum. Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa. Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu. Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Amani iwe nanyi Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo. Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Shemeji yako aliyemuoa dada yako sio ndugu yako

    Kwa mila na Desturi zetu za Kitanzania. Jamaa aliyeoa dada yako hata siku moja SIO NDUGU YAKO. Hii kitu inote kwa sababu kwanza kabisa dada yako akifariki jamaa anaenda kumzika kwao. Watoto wote anaandika majina yake. Mali zote anaandikisha either MAMA YAKE au Mdogo wake wa Kiume au watoto...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  10. Tony Yeyo

    JamiiForums Tanzania Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers

    Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers Nitumie njia gani?
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ndugu yangu hakubaliani na hali ya mtoto wake ilhali mtoto wake ashaikubali, pesa zinapotea na ni mwepesi kudanganyika, kipi kifanyike ?

    huyu ni mama mdogo wangu na nipo karibu sana na mtoto wake ambae huwa ananiambia vitu vingi. Ni kwamba mtoto wa mama mdogo alipokuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 9 aliumwa malaria, hali yake ilikuwa mbaya sana ikabidi apigwe sindano za quinine (kwinini) Hii dawa kama mtakumbuka hapo zamani kwa...
  12. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Eid haiko mbali na sisi tutalipa kisasi

    Yote sababu ya pilau😁
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

    Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo. Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwajame Dossa Aziz Anaemeza Urafiki Ndugu Baina ya Baba Yake na Julius Nyerere

  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugu wamuua dada yao wakigombea ardhi

    Wanaume wanne wamekamatwa kwa madai ya kumuua dada yao waliompiga hadi kumsababishia umauti kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi waliokuwa nao kwa muda mrefu. Tukio hilo limetokea siku ya Jumamosi usiku, wilayani Rukiga nchini Uganda, tovuti ya Monitor ya Uganda imeripoti. Watuhumiwa...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kero za tarehe ya Mshahara kufahamika na ndugu

    Bongo hii usiwe mtumishi serikalini yaani ni zaidi ya kero kila ikifika tarehe 22 Na 23 nyumbani huko simu zinaita wanataka uwagaie Na wenyewe posho ebu fikiria kwa mfano umekaa bench mwezi wote hujapata activity ya kufanya unatoka mshahara kalaki saba hakohako unadaiwa madeni karibia laki tatu...
  18. poposindege

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ubuntu ndugu zangu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040. Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa. Nimejaribu kupita Google lakini sijaambulia kitu. Naomba mwenye ufahamu anielekeze namna ya kutatua tatizo hili...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

    Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo. Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

    Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu. Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic) Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa...
Back
Top Bottom