ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  2. JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

    Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni. Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi. Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi. HISTORIA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninarogwa sana. Mniombee pia hata kama mbinu za asili mnazo mnisaidie kisirisiri upo mlipo

    Juzi nimelala mchana, alafu nikaota alimanusura nigongwe na pikipipki. Pikiki ilifunga breki ikiwa inaendeshwa na mzee wa makamu. Ilifunga breki alafu yule mzee akaniuliza huoni? Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa. Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

    Habarin ndugu zangu kwema? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi. Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu? Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
  7. JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmeniangusha sana ndugu zangu. Ina maana kweli mmekosa watu wa kubadilisha upepo wa papa?

    Poleni sana ndugu zangu wakatoliki kwa taharuki mliyo ipata baada ya kauli tata ya papa. Binafsi wala hata sioni threat ya maneno ya papa kwa ustawi wa kanisa katoliki duniani.. Wala sioni damage yoyote kwa kanisa katoliki. Na hii ni kwa sababu, maneno ya papa yana loop holes nyingi mno na...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Arsenal mpooo? Aston Villa wameshafanya yao EPL

    Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park. Matokeo hayo yanaifanya Villa kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 35 wakati Arsenala ambayo huo ni mchezo wao wa pili kupoteza...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu wazazi

    Mimi ni kijana mwenye mtoto wa miaka 5. Nina ukaribu sana na watoto yaani kwa kifupi mimi hupenda sana michezo na kuhakikisha watoto wanapata furaha na kucheka. Uzuri wangu mtoto akikosea huwa sipendi masihara nae, anakula mboko za kutosha. Najiepusha nisimpige kwa hasira sana kwa mikono au...
  10. JamiiForums Tanzania Watoa taarifa (wapinzani) kimya sana ndugu zangu, kulikoni?

    Itoshe kusema Kimya kina mshindo. Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana.. Vipi? Ni kishindo cha Makonda? Au ni mipango tu? Ni ukata wa fedha au pumzi? Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene? Hamuelewani? Hamuaminiani ? Mnavurugana na kugawanyika? Wafuasi wanauliza...
  11. JamiiForums Tanzania Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kama sio huyu mama sijui ingekuwaje ndugu zangu

    Ndugu zangu nimeona niwasanue mapema usipopata mchongo ama ajira awamu hii ya mama Samia imekula kwako kama kijana ambaye kitaa kilinichakaza vya kutosha nakushauri fanya yafuatayo 1. Suka Cv yako sambaza kwenye NGOs na private companies . nakushauri hivi kwasababu kuna kundi kubwa la washkaji...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu UKIMWI is real

    Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana". Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

    Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu huwa sitaki kuwaweka ndugu kwenye biashara zangu, Ni heri niwape mitaji wafungue biashara zao wapambane kivyao !!

    Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania Natumiwa sana na ndugu zangu kwenye shida zao. Zikiisha wanapotea

    Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na shida. Kuna mmoja yakimkuta kwa siku utapokea simu zaidi ya kumi, kila mara, akishatatua shida yake...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

    Nimefuatilia sana tunapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni; 1) Tupunguzieni ushuru wa Tende 2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…