“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
Tujikumbushe;
1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge.
2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari
3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua
4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua
5. Wabunge zaidi ya 10...
Leo Tena Bunge limepata msiba wa 3 ndani ya wiki mbili tu. Hii si hali ya kawaida tangu Tanzania ipate Uhuru kwa Bunge kupoteza Wabunge 3 kwa vifo vya kutatanisha.
Wabunge wa Upinzani CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na Watanzania wenye busara walishauri Bunge lisifanyike kwasababu ya kuwepo kwa...
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.
Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.
Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi...
Spika wa bunge mh Ndugai amesema endapo mbunge yoyote anajihisi au atajihisi ana dalili za maambukizi ya Covid 19 kama zilivyoainishwa na wataalamu wa afya basi ajifanyie self isolation na kuripoti hospitali haraka sana.
Spika Ndugai ametoa mwongozo na tahadhari hiyo Bungeni leo hii na...
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Maendeleo...
Naibu waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amemwagiza Mkuu wa Wilaya (DC) ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya kutumia Sh42 milioni za mfuko wa jimbo hilo ambazo zimekaa kwa miaka miwili bila kutumika.
Waitara amesema fedha hizo zilitolewa mwaka wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa bado hajalipwa ‘gratuity’ (bahkshishi) yake ambayo ni asilimia 40 ya mshahara wake, tofauti na kile kinachoelezwa bungeni.
Lissu amesema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai...
Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June.
Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi.
Source...
Mh. Ndugai tumesikia ukisema Lissu ana madeni mengi na kwamba akija atayakuta yanamsubiri. Ni vema kwamba umeamua kumtangaza manusura wa kifo au mauaji.
Sasa sisi Watanzania ni watu wenye huruma na upendo hatupendi kuona mtu anapata tabu wakati tunaweza kumsaidia.
Kama tulivyowachangia...
Ndugai-"Hatuwezi 'tuka-paste' hatua za wazungu,tutaua watu"
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na virusi vya corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya Kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.
Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri...
Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu.
Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu.
Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele.
Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji...
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema...
Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi.
Spika wa Bunge la...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la The Voices from Within,naomba kulianza kwa disclaimer
Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu
TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. -...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema mbunge anayekataa bajeti ya Serikali bungeni ni mpuuzi.
Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo wakati akiahirisha Bunge la sita la Vijana la mwaka 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma.
"Kuna mambo matatu katika bajeti, kusema ndio, hapana...
Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai.
Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma
Source TBC
Hivi wabunge wa Tanzania mkataba wao ukoje. Hawa ni wawakilishi wa wananchi na wananchi ndio huwatuma bungeni sasa kuna dhambi gani wananchi kuwatumia au kuwaandikia maswali wawakilishi wao ili wakaulize bungeni kwa niaba yao? Kwanini Spika alimkataza mbunge Devotha kuuliza swali kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.