Ndugai tupe madeni ya Lissu yote tutamlipia, sisi bado tunaguswa na yaliyomkuta

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Mh. Ndugai tumesikia ukisema Lissu ana madeni mengi na kwamba akija atayakuta yanamsubiri. Ni vema kwamba umeamua kumtangaza manusura wa kifo au mauaji.

Sasa sisi Watanzania ni watu wenye huruma na upendo hatupendi kuona mtu anapata tabu wakati tunaweza kumsaidia.

Kama tulivyowachangia viongozi wa Chadema waliopigwa mamilioni ya hela kutumia usanii wa kisheria pia hatutashindwa kumchangia Lissu. Tuambie lisu anadaiwa kiasi gani tutachanga pamoja na shida zetu.

Lissu hakutaka kuuwawa tunajua asingepigwa risasi angelipa madeni hayo ila kwakuwa alikoswakoswa kuuwawa ndio maana alishindwa kulipa madeni hayo.

Mh ndugai tunaomba Deni lote la Lissu Mungu aliemponya na mauti atamsimamia katika mapito yake.

Lissu amini Watanzania wanakupenda sana, tena sana.
 
Pamoja na umasikini nilonao wakati wowote siku yoyote nikisikia Lissu anahitaji msaada wa kuchangiwa fedha hakika nitatoa whether by hook or crook huu Upendo nilonao kwa Lissu ni zaidi ya Shuntama au Lukomolo na hakuna Panya wa jibwa lolote la kuniletea fyokofyoko.
 
Pamoja na umasikini nilonao wakati wowote siku yoyote nikisikia Lissu anahitaji msaada wa kuchangiwa fedha hakika nitatoa whether by hook or crook huu Upendo nilonao kwa Lissu ni zaidi ya Shuntama au Lukomolo na hakuna Panya wa jibwa lolote la kuniletea fyokofyoko.
Watu wema hawajaisha DUNIANI hakika barikiwa mkuu.
 
Sina shida yoyote isipokuwa mnajipambanua mnampambania lissu kumbe waongo tu.

Kwanini usimuulize lissu anadai kiasi gani?
We ni miongoni mwa wale wasiojulikana. Nani aliyetangaza hadharani kuwa Mh Lissu ana madeni? Sasa kwanini asimalizie kazi yake?

Niko tayari kuchangia hata kama ni BUKU. Hizo zenu nyingi kanunulieni risasi mtushambulie siku ile tutakapompokea Shujaa wetu wa mauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni miongoni mwa wale wasiojulikana. Nani aliyetangaza hadharani kuwa Mh Lissu ana madeni?? Sasa kwanini asimalizie kazi yake?? Niko tayari kuchangia hata kama ni BUKU. Hizo zenu nyingi kanunulieni risasi mtushambulie siku ile tutakapompokea Shujaa wetu wa mauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema madeni naomba nisisitize tena madai kama yapo lissu ndio aseme ili kama kuchangia achangiwe
 
Wew
Yani nisimuulize spika alienzisha hoja Leo nimuulize lisu pia spika ana mandate ya kupata taarifa hizo kuliko lisu tumia hata akili ndogo ya kukatia kucha basi.
Kwa akili yako ya kibavicha, hujui jinsi ya kuwasiliana au kumpata spika?
 
Kwani akiulizwa mh spika wewe sehemu gani ya mwili inawasha ili ukunwe?
Haya nenda kapige KIRUNGU maana mwenzako kavuta 300 million na zaidi anajivinjari nazo UBELGIJI.

Na kama unataka kumchangia spika kasema ana deni la 70 million, unachangia ngapi?
 
Haya nenda kapige KIRUNGU maana mwenzako kavuta 300 million na zaidi anajivinjari nazo UBELGIJI.

Na kama unataka kumchangia spika kasema ana deni la 70 million, unachangia ngapi?
Kitu kinachotucost watanzania ni mahaba.....kama spika kakosea tumrekebishe..
 
Katika kipindi cha maisha yangu hapa duniani siwezi kusahau ile siku napata habari mh Tundu Lissu kapigwa risasi.

Nilistuka na machozi yenye hisia kali kutoka moyoni yaliniandama,lakini nilishindwa kuvumilia nilipoona umati wa watu wa Dodoma umejazana pale General hospital huku mh Tundu Lissu akiwa hana fahamu.

Niseme ukweli nilipatwa na hasira sana kwa waliohusika na utekelezaji wa jambo lile...siwezi kusahau na nipo tayari kidogo kumchangia mh pale itakapobidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom