Spika wa bunge mh. Ndugai amesema Bunge la 11 ambalo yeye ndio analiongoza limebakiza mikutano miwili tu yaani Februari na Aprili 2020 kabla halijavunjwa rasmi na Rais Magufuli.
Spika Ndugai alikuwa anaweka uelewa sawa kwa wananchi ili tuweze kwenda pamoja kama kuna jambo limesahaulika basi...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa mara kwa mara nafasi ya upinzani kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu inapotea kutokana na kiongozi wa kambi hiyo kuwa mtoro.
Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali...
Na Elius Ndabila
Jana Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai amenukuliwa na vyombo vya habari akisema Serikali iwe makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.
Mh Ndugai amesistiza kuwa Serikali isiangalie tu...
Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.
Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni
Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa.
Spika huyo mstaafu amewakumbusha wabunge hao kuwa wafuasi wao wanaowashangilia leo ndio hao hao watakaowatukana...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wakenya kwa Kuonesha Mubashara Vikao vya Kamati vya Bunge
Amesema “Nawapongeza kwa uzinduzi, kwamba sasa vikao vya kamati mbalimbali vitapeperushwa mubashara (Live)”
Aidha, amewasihi kutumia Kiswahili kwani inawezekana kama kinavyotumika...
Spika wa bunge mh Job Ndugai amealikwa na bunge la Kenya kwenye kikao cha kuwasilisha ripoti za utendaji kazi wa kamati za bunge.
Ndugai anatarajiwa kuwahutubia wabunge wa Kenya kuelezea umuhimu wa uwepo wa kamati za bunge na faida za matumizi ya lugha ya Kiswahili bungeni.
Tukio liko...
Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo
======
BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI)
Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.