ndugai

  1. J

    Spika Ndugai: Bunge limebakiza vikao viwili tu kisha tunaagana

    Akifungua kikao cha leo cha bunge ambacho kimehudhuriwa na wabunge wachache sana, Spika Ndugai alianza kwa kucheka kisha akasema "tumebakiwa na vikao viwili tu kabla ya kuagana" Mjadala unaendelea na sasa mbunge Mariam Ditopile ndio anachangia. Source: Channel Ten Maendeleo hayana vyama!
  2. J

    Suzan Kiwanga: Makato ya wabunge wa CHADEMA yako kikatiba na Spika Ndugai ameyabariki na hutukata sh 530,000 kila mwezi pale Bungeni

    Akiongea baada ya kuhojiwa na Takukuru mbunge wa Mlimba mh Suzan Kiwanga amesema makato ya wabunge wa Chadema yako wazi kwenye katiba ya chama na yamebarikiwa na Spika Ndugai. Kiwanga amesema kimsingi wabunge wa kuchaguliwa hukatwa na Spika Tsh 530,000 kila mwezi kutoka kwenye mshahara na posho...
  3. J

    Bunge la bajeti lilikuwa kama kikao cha CCM, Ndugai kawapokea Lijualikali na Silinde huku Dr. Mpango na Ummy wakitangaza nia

    Mungu ni mwema hatimaye bunge la Ndugai linafikia tamati kwa utulivu na amani. Lakini mkutano huu wa bunge la bajeti utaacha historia ya aina yake. Mosi, wabunge watatu mashuhuri wamefariki wakati bunge likiendelea na vikao vyake. Pili, Wabunge wa Chadema wakiwa ndani ya bunge wametangaza...
  4. M

    Ndugai na genge lake wasituharibie nchi!

    Mwalimu alishalionya Taifa, kuwa ukiona kuna watu wanapita na kupiga kampeni za kumtaka raisi aongezewe muda, kimsingi wanakuwa wanapigania matumbo yao maana hawana uhakika kama raisi ajaye atawapa nafasi walizonazo sasa. Kwa muda mrefu sasa Spika Ndugai amekuwa akibehave kama kikaragosi fulani...
  5. Erythrocyte

    Video: RPC Muroto awaumbua Ndugai na mamluki wake

    Mkitaka kutengeneza uongo ni vema mkashauriana kwanza.
  6. J

    Kisiasa Mbowe anaweza kuwa ni rafiki mzuri wa Dkt. Magufuli kuliko Job Ndugai

    Ukifuatilia kwa makini mwenendo wa Freeman Mbowe utagundua kuwa ni mtu anayejua anachokifanya. Tofauti na wanasiasa wengi ambao hutenda mambo kwa kubahatisha, kinafiki na wakati mwingine wakitaka waonekane wanausapoti uongozi wa juu. Ukiangalia utendaji wa Mbowe kama KUB amekuwa upande wa...
  7. Influenza

    Bunge kupitisha azimio la kumpongeza Spika Ndugai na Serikali kutobadili Makao Makuu ya shughuli zake

    Bunge la Tanzania leo linaendelea na shughuli zake katika Mkutano wa 19, Kikao cha 40 ambapo baadhi ya shughuli ni kupitisha maazimio mawili Azimio la kwanza ni Kuitaka Serikali kutobadili Uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi na Shughuli za Serikali Azimio la pili ni Kumpongeza...
  8. J

    Bunge la Ndugai tutalikumbuka kwa kusimamia nidhamu kwa watu wote bila kujali vyeo!

    Kama utaniuliza bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni nitalikumbuka kwa jambo gani basi nitakuambia lilijenga nidhamu miongoni mwao na wananchi kwa ujumla. Wabunge walioadhibiwa ni pamoja na Nassari, Godbless Lema na Makamu wa Rais bunge la Afrika mh Maselle. Viongozi waliohojiwa ni pamoja na...
  9. J

    Hii imekaaje: Spika Ndugai kumwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru kwenye mkutano

    Kuuliza siyo ujinga. Leo nimemsikia Rais wa CWT bi Ulaya wakati anawatambulisha wageni wa meza kuu alimtambulisha mh Job Ndugai Spika wa Bunge ambaye anamwakilisha Katibu mkuu wa CCM. Kiitifaki hiyo imekaaje? Ni hilo tu, Maendeleo hayana vyama!
  10. J

    Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

    Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona. Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
  11. ngoshwe

    Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  12. Roving Journalist

    Kesi dhidi ya Spika Job Ndugai na Cecil Mwambe kutajwa kesho. Ni ile ya kuomba tafsiri ya Mahakama baada ya Mwambe kurudishwa Bungeni

    Kesi iliyofunguliwa na shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO) kuomba tafsiri ya Mahakama Kuu kufuatia kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumrejesha Bungeni Ndg. Cecil Mwambe itatajwa kesho tarehe 03 Juni 2020 sa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Maige, Jaji...
  13. Q

    Spika Ndugai na Mwambe wapewa wito wa Mahakama, kesi kuanza Juni 3

    Kesi namba 12/2020 inayomkabili Spika wa Bunge, Job Ndugai imepangwa kuanza kusikilizwa Katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es salaam mnamo Juni 3 mwaka huu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa Saba. Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Taasisi ya Haki za Kiraia na msaada wa...
  14. M-mbabe

    Wakati wapiga kura jimboni kwake wakimkana mchana kweupe tena mbele ya rais, Job Ndugai kuburuzwa kortini June 3 2020

    Mtu kati. Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai. Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini. Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa...
  15. G Sam

    Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

    Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
  16. J

    Usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Mikopo yawanasisha wabunge wa CHADEMA kwenye mtego wa Spika Ndugai

    Wameanza Wakala wa Majengo ( TBA) kuwadai moja kwa moja wabunge kodi za pango bila kupitia ofisi ya Katibu wa bunge. Ulipoombwa mwongozo bungeni waziri wa ujenzi mh Kamwelwe alisema mikataba hiyo ni binafsi kati ya TBA na wabunge hivyo wabunge wapambane na hali zao. Kinachoendelea ni benk...
  17. J

    Spika Ndugai awataka wabunge wajenge nyumba Dodoma kwani hata wabunge wa Kenya wote wana nyumba Nairobi

    Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga. Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie. Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
  18. F

    Spika Ndugai unakosea, Mbowe ana haki ya kuelezea mawazo yake na chama chake, anaowakilisha ni watanzania

    Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili) Ni jambo la kushangaza kuona...
  19. Miss Zomboko

    Spika Ndugai afunguliwa kesi ya kikatiba kwa kumtambua Mwambe kuwa Mbunge halali licha ya kujivua uanachama Chadema

    WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 10 ya mwaka...
  20. S

    Ndugai amezidi kumsemea Magufuli, unaweza kudhani yeye ndiye msemaji na mteteaji wa Rais Magufuli!

    Hii tabia ya Ndugai kumsemea Magufuli kwa watu anaokuwa na bifu nao inakera sana. Mtu yeyote mwenye akili anaelewa wazi hii ni saikoloji Ndugai anatumia kuchochea moto kati ya Magufuli na watu ambao Ndugai ana tatizo nao, hasa baada ya kumjua Magufuli ana silka ya namna gani. Ndugai...
Back
Top Bottom