Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.

Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Naibu Spika.jpg
Spika.jpg

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
Wangesema analetwa bungeni pia angekosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walitakiwa watengue kanuni inayotaka misiba ya wabunge ipelekwe Bungeni na sababu ya kutengeua itolewe Bungeni then taratibu za mazishi ziendelee hakuna ambaye angehoji! Kwa kutofanya hivyo wanaacha ombwe la wananchi kuhoji!
 
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.

Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
chini ya awamu ya 5 ni zamu ya mafisadi papa kutamba.

ni dhahiri mahakama ya mafisadi imejengwa kwa ajili ya wale waliopora 1.5tr yetu.... tutakula nao sahani moja kuanzia November hadi waitapike yote shubaaaamit!
 
Naona oktoba imekaribia na 'king maker' anajisogeza karibu, let us see.

Back
Top Bottom