ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, vipofu huota ndoto?

    Salaam, shalom!! Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine, Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto? Kurahisisha upatikanaji wa jibu kuhusu ndoto za vipofu, tupate tafsiri ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

    Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!! Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoto gani uliwahi kuota ikakufikirisha sana?

    Nilijikuta niko kwenye nyumba yenye njia kama barabara ya kwenda underground floor (basement hivi). Kuta za hiyo nyumba zilipakwa rangi ya yellow (njano) na nilivyopiga kama nusu mzunguko niliona ukutani kulikuwa na picha ya nyoka mkubwa kichwa kama kilikuwa juu kama kwanye ground-floor kwa vile...
  5. JamiiForums Tanzania Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

    Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni ndoto gani ya ajabu ambayo umewahi kuota?

    Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza? Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto za Wanafunzi "Mashahidi" Waliouawa na uvamizi wa Mazayuni

    Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja! 2 days ago Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia! Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇 وَلَا تَحْسَبَنَّ...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

    “Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ina maana gani?

    Hapo vip!! Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto. Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  16. JamiiForums Tanzania Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  17. JamiiForums Tanzania Je, mzazi wako alishiriki kwa kiasi gani kuua ndoto zako?

    Je, Lilikuwa ni kosa lake au mfumo wa maisha ndio ulimfanya awe hivo?
  18. JamiiForums Tanzania "Samia Bridge" Ndoto inayoishi na itakayokamilishwa na awamu hii ya 6.

    Ndoto iliyopitishwa!! Usiku ule nikiwa ndotoni ghafla nikaona madaraja matatu mazuri ambayo ni msaada mkubwa kwa wananchi wote; Nyerere bridge, Busisi bridge na Samia Bridge!! Daraja moja limeanzishwa na kujengwa na Mama mzaliwa wa visiwa vya Zanzibar hadi kukamilika hivyo kwa kuheshimu na...
  19. JamiiForums Tanzania ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…