Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,039
Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake!

Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa!

Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano ya amani na Urusi kesharuka kimanga tayari na kusema hahusiki!
 
Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake!! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa!! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano ya amani n a Urusi kesharuka kimanga tayari na kusema hahusiki!!
kwan nan alianza mvamia mwenzie? mbona mnaoesha upeo mdg
 
Ungesema ndoto ya putin kuichukua ukraine ndani ya siku 3 inenda mwaka wa3
Marekani hawezi pigana Vita na Burundi tena full scale War akashinda ndani ya wiki. Labda atumie weapons of mass destruction mfano Nuklia, biological and chemical weapons.
Sasa Urusi atawezaje kuipiga Ukraine ambayo ni ya 16, kwa nguvu za Kijeshi Duniani?
Nadhani huo Muda walitoa Warusi wa Dar, Wala sio Viongozi wa Kijeshi wala kiaiasa wa Urusi.
Au ni ww mwenyewe umetunga. Tafuta clip ya tamko Hilo liweke hapa. Nakutumia 20,000/= ya Gb.
 
Namie ntamuongezea hapo 20000 nyengine ya gb
 
Marekani hawezi pigana Vita na Burundi tena full scale War akashinda ndani ya wiki. Labda atumie weapons of mass destruction mfano Nuklia, biological and chemical weapons.
Sasa Urusi atawezaje kuipiga Ukraine ambayo ni ya 16, kwa nguvu za Kijeshi Duniani?
Nadhani huo Muda walitoa Warusi wa Dar, Wala sio Viongozi wa Kijeshi wala kiaiasa wa Urusi.
Au ni ww mwenyewe umetunga. Tafuta clip ya tamko Hilo liweke hapa. Nakutumia 20,000/= ya Gb.
Marekani ilitwanga na kuitwaa iraq ndani ya wiki ulikua bado mdogo unanyonya. Putin bada kuivamia ukraine kesho yake akasema ajisalimishe au akimbie we mrusi wa yombo relini unabisha nini
 
Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake!! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa!! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano ya amani n a Urusi kesharuka kimanga tayari na kusema hahusiki!!
baada ya hili zelensky anatakiwa awe pamoja na putin US na UK watampoteza vibaya,asiwafate wale wapo kwenye kutafuta ugali zaidi...
 
Ungesema ndoto ya putin kuichukua ukraine ndani ya siku 3 inenda mwaka wa3
Wapi na lini putin alisema anataka kuichukua Ukraine ndani ya siku tatu,, tuonyeshe link tusome au tupia hata kavideo,, hizi propaganda na uongo uliozushwa kwenye ile smo,,, ni sawa tu na ile hadithi ya Israel nchi yao haiingii bomu, yani ukipiga bomu linayeyuka kwa vifaa walivyokuwa navyo, vita ya siku sita, etc. na wao ndo Taifa la mungu ila mie na wewe sijui taifa la nani..
 
Back
Top Bottom