Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Kuna watu humu ndani wamekuja na hoja mbalimbali za ndoto na kutafsiri ndoto

Biblia imeeleza waziwazi kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto

Tujifunze kisa cha Yusufu kwa Pharaoh na Daniel kwa Nebuchadnezzar. Hao wote wawili waliwaeleza wafalme kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto.

Ndoto ni fumbo na ndoto zinatokana na vyanzo vitatu

1) Shetani
2) Mungu
3) Ubongo wako

Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu.

Kama ni shetani wewe kemea tu kwa jina LA Yesu. Ndoto za shetani zinaambatana na vitisho.

Ndoto kutoka kwa Mungu huwa zinaambatana na
1) maonyo
2) maelekezo
Tena ukiota huwa unaamshwa hapohapo na unaikumbuka yote kwasababu inakuwa na muhuli.

Nimekupa maelekezo kuhusu ndoto usidanganywe tena
 
Ujinga mtupu,unakataa hakuna mwanadamu wa kutafasiri ndoto hapo hapo unamtaja mungu,nadhani ungekanusha pia uwepo wa mungu

Mungu kagawa vipawa kwa kila mtu,usipoweza wewe sio kwamba wote hawawezi
 
Kuna watu humu ndani wamekuja na hoja mbalimbali za ndoto na kutafsiri ndoto

Biblia imeeleza waziwazi kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto

Tujifunze kisa cha Yusufu kwa Pharaoh na Daniel kwa Nebuchadnezzar. Hao wote wawili waliwaeleza wafalme kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto.

Ndoto ni fumbo na ndoto zinatokana na vyanzo vitatu

1) Shetani
2) Mungu
3) Ubongo wako

Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu.

Kama ni shetani wewe kemea tu kwa jina LA Yesu. Ndoto za shetani zinaambatana na vitisho.

Ndoto kutoka kwa Mungu huwa zinaambatana na
1) maonyo
2) maelekezo
Tena ukiota huwa unaamshwa hapohapo na unaikumbuka yote kwasababu inakuwa na muhuli.

Nimekupa maelekezo kuhusu ndoto usidanganywe tena
Hii ndo shida ya kujisomesha mwenyewe vitu vilivyo beyond upeo wako, huwezi elewa maana mpaka ukae na wanaojua maana wakufunulie
 
Kama zipo hadithi za biblia zikishuhudia watu wakizitafsiri ndoto maana ake Mungu hakuishia kwao kuwapa vipawa hivyo anatoa na anaendelea kutoa vipawa hvyo usitudanganye
 
Ila nyie ndoto niote Mimi kwa Uwezo wa ubongo wangu afu mtu mwengine anitafsirie..🤣ye ndo seli zangu za ubongo ama..😂story za biblia sijui ng'ombe Saba sijui zisiwashtue
 
Tunahangaika na mtoto,wewe senior member unihangaishe mimi jf expert member? Umejiunga juzi lakini unataka kujifanya mjuvi
kujiunga kwako jf miaka 200 iliyopita sio sababu . naopmba huyo mtu anae tafasiri ndoto basi . kuhuhusu kujiunga jf nimejiunga mwaka 2011 mwezi wa9 au nikupe hiyo ID ya 2011?
 
Back
Top Bottom