ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufahamu ndoto na kipaji cha mtoto inasaidia kujenga wafanyakazi mahiri wa kesho

    Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu kipindi akiwa mdogo, ambapo wazazi huwa wanatazama mwenendo wa mtoto katika michezo ambayo...
  2. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kuitafsiri hii ndoto anisaidie

    Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii. NDOTO HIYO. Baadae saa 11 jioni, nilikuwa chumbani peke angu alafu mlango nilikuwa nimeuegesha ila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 40+ wengi hukubali matokeo yoyote, ndoto nyingi hufa kwenye miaka 20

    WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+ 1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20 2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao 3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto zao. 4 Wengi ndio waumini wa kauli ya "MAISHA NDIO HAYA HAYA" 😔 5 Wengi ndio waumini wa kauli ya...
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya usifikie ndoto yako ya Upadrisho?

    Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la mtakataifu Aloyce, kutumikia altareni huku ndoto zetu ikiwa ni baadae kwenda seminari hadi Upadrisho...
  5. nkotany hamenyimana

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Ndoto ya taifa lenye maendeleo endelevu

    1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanapata fursa sawa katika kila nyanja ya maisha. Hii inajumuisha upatikanaji wa...
  6. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

    Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo...
  7. mbasa ya konge

    JamiiForums Tanzania Nimeota nimeua simba halafu watu wakaninyanyua juu na kunishangilia kama shujaa, ndoto hii ina maana gani?

    Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi". Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao...
  8. Mr_Ndagiwe99

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya ndoto yangu niitakayo

    Tanzania niitakayo ambayo itatengenezwa na watanzania wenyewe bila kutegemea misaada ya wahisani wenye masharti na vigezo visivyo na ladha ya kitanzania. 1. Tanzania ya wakulima ambao wanalima kwa tija, wakulima ambao watapewa pembejeo za kilimo (mbolea, mbegu bora, mashine za kulimia na...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto

    Nimelala during the daytime, baada ya breakfast leo, nimelala, nimeota ndoto. Katika hiyo ndoto mimi ni monk,nipo darasani na monks wengine,tunamsikiliza mwalimu wa monks. Halafu mini nimeondoka. Yule mkufunzi akasema,"Huyu anapenda sana glucose. " Pale kuna discipline kali,haiwezekani...
  11. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga jengo la biashara Kinshasa

    Kwa wale ambavyo angalau ngeri inapanda hebu pitieni kidogo hicho kipande cha gazeti. === Serikali inaanza mradi kabambe wa kujenga majengo ya makazi, rasmi na biashara katika nchi kadhaa kwa lengo la kuongeza mapato kwa ajili ya Wizara ya Mambo ya Nje. Akiliomba Bunge kupitisha bajeti ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ndoto ya Mwanamajumui

    Utangulizi  Elimu ni nyenzo pekee ya kujenga ujuzi, maarifa, uwezo wa kupambanua mambo, udadisi na kujiamini ambako huchochea mapinduzi ya fikra, hatimaye maendeleo ya jamii husika. Changamoto ya elimu ya sasa Mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yameibua kasoro kwenye elimu yetu kama ifuatavyo...
  13. Rule L

    JamiiForums Tanzania Ndoto ilikuwa ni kuwa Professor ila kwasasa ni mkata mkaa

    Watoto wadogo ukiwauliza kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Utasikia vitu vingi sana ila ngoja akue sasa akutane na mwalim Dunia, wee utamkuta anachoma mkaa. Story ya watoto inafanana na ya ndugu zetu kolokopo. Kipindi msimu unaanza walikua wanabwabwaja balaa, kwasasa naona kimya...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto ya Kumiliki McLaren, ndoto yako inaweza kutimia. Wametengeneza McLaren Senna Cheap

    McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana. Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car. Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutengeneza ndoto za watoto

    Kwa wale mliofika japani au tusiende mbali sana miaka ya nyuma kabla zimbabwe ijapotea kisiasa ilikuwa nchi bora sana kwa wazazi waliotembea kuwapeleka watoto wao. Nitarudi nchi ya japani sababu ndio inaonyesha kuwa makini na watoto (samaki mkunje bado m'bichi).Japani wanaogopa sana kuzaa ,sio...
  16. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Ajira portal: Jipu jipya kwa ndoto za vijana

    Habari zenu wakuu Kwanza nipende kushukuru aliyebuni uanzishwaji wa hii ajira portal maana imetoa fairness sana kwa walio wengi bila kujali status yako ya kiuchumi Pamoja na hayo yote lakini kwanini mfumo unabagua sana watu? Mtu anakidhi vigezo kabisa lakini akituma maombi system inamwambia...
  17. instagramer

    JamiiForums Tanzania Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

    Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani. Dar...
  18. thefather

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kivipi mikopo itawainua watanzania hasa vijana na sio kuwa janga linalo sababisha maafa na kuaribu ndoto za wengi

    Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali walivo navyo vijana hii itapelekea kupunguwa kwa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mitaani na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

    Mimi Nina miaka kadhaa namtumikia Mungu chini ya huduma ya Synagogue of Christ ministry lakini swali langu ni; Nini kinaua ndoto za vijana wengi?
  20. Masalia Mpya

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zimenichosha

    Habari zenu kwa ujumla Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana. Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda mikoa mimgine. Kuanzia hapo nikawa narudi Lindi kama mgeni. Miaka 5 nyuma tulihamisha makazi na kuhamia...
Back
Top Bottom