ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke au Mwanaume wa ndoto yako yupoje? Ulishawahi kumpata au ulishakata tamaa kumpata?

    Kama ilivyoandikwa Mwanamke au mwanaume wa ndoto yako Bado yupo? Ana exist Ha- exist Unae? Huna? Anafananaje? Au ushakata tamaa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  3. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Ndoto Inayonichanganya

    Nikiwa pembezoni mwa kingo za shimo refu (valley), ghafla nikawa naona kwa uoni hafifu, nikashuhudia shimo kama limekuwa sawa (level) na sehemu niliyokuwa nimesimama. Kwa kuhofia kuangukia kwenye lile shimo, nikageuka ili nitoke kwenye maeneo hayo. Nilipogeuka, nikamuona Humphrey Polepole...
  4. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Usipuuze ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala

    Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana. Mambo yote yanayotokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho siku chache kabla ya kutokea na kutimia katika ulimwengu huu wa mwili. Mwili hupata taarifa ya yale...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kuandika ndoto/njozi na umuhimu wake

    Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota? Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu. Fikiria unaota kila mara uko makaburini, hushtuki, wala hufuatilii mwenendo mzima wa maisha yako kuanzia umeanza kuota ndoto hiyo. Mwingine...
  6. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Nchi yako ya ndoto unayotamani kwenda ni ipi?

    Ni nchi gani kati ya hizi unazotamani sana kwenda kutembea au kuishi ungekuwa na uwezo?
  7. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto ya kurudi nyumba uliyokuwa unaishi zamani au kurudi kijijini kwenu

    Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani. Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena. Kuota upo kijijini kwenu na kuona unapitia mazingira flani huko maana yake ni kwamba; Matatizo ulionayo kwa wakati huo chanzo chake ni huko...
  8. Mandela5599

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Tanzania katika Michezo ya Olympic: Mpango wa Miaka mitano.

    Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter. Katika michezo hii toka mwaka 1964...
  10. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kuonana na P.Didy ndiko kulikompa kichwa Diamond na kupata ndoto ya kuwa "Tajiri Namba 1 Duniani"

    Lakini sasa itakuwaje? Maana mentor tayari yameshamfika shingoni huko Marekani!
  11. Nasdaq

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

    Ni nadra sana kuwa tajiri overnight everything is a process and it takes time you have to fight your way through riches nothing comes easily
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ndoto mbili za kweli (ndoto za kichawi) - unashauriwa kufanya sana ibada

    💼MHADHARA WA 7 Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia kukutokea baadae. 1. NDOTO YA KWANZA Kuota mara kwa mara umekufa. Au kama umeoa/umeolewa unaota mara mwa...
  13. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii

    Hamjambo, Usiku wa kuamkia leo nimeota nipo kwenye mji mwingine, ni kama "lost city" ambapo hakuna mtu lakini majengo yake ni makasri, kama yale kwenye filamu za katuni, mfano jengo la Disneyland. Nimeota hayo majengo ni chakavu, na nje kuna sanamu za farasi aliyepandwa na mtu akiwa...
  14. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

    Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu. Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiovuka futi 6 chezeni basket kujifurahisha, Nimekutana na vijana wenye 5'6 - 5'8 wanapeana matumaini kucheza NBA nimesikitika

    pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208 Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya baketball nikawa nawasikia vijana wanapeana moyo wa kucheza nba, vimo vyao hakuna hata moja aliefika futi...
  16. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Majibu ya mabinti wa zamani wakiulizwa unapenda kuwa kama nani ukiwa mkubwa.

    Wengi walikuwa wanataja majina kama:- •Asha Rose Migiro •Getrude Mongela •Anne makinda Sikuhizi wanataja nani?
  17. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa tafsiri za ndoto tuonane hapa

    Habari ndugu zangu Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili? Asante.
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

    achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani. ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtoto aliyeimba na Kala Jeremiah 'Wana Ndoto'?

    Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

    Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake. Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
Back
Top Bottom