ndoa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

    Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022. Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
  3. Holly Star

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Je, nimefunga ndoa na jini?

    Habarini Aisee nimeota ndoto ya ajabu sana leo. Nimeota nafunga ndoa na mwanamke mzuri mweusi kabila mhaya and nimeonana hadi na wazazi wake usiku huo tena nikiwa nusu nafahamu. Hii ndoto nimeiota karibu usiku mzima coz nlikuwa nikistuka nikipitiwa tu usingizi inaanza tena. Nimefunga hii ndoa...
  4. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

    Nimekaa nikawaza sana changamoto ambazo nakutana nazo maishani, changamoto hizi muda mwingine zinanifanya nakufuru, na huwa najuta sana, maisha ni magumu, kazi nazo siku hizi zimekuwa ngumu kiasi kwamba hakuna tofauti kati ya mwenye kazi na asie na kazi. siku hizi ukimpata mtu akakusaidia 1000...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu. Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu. Ila...
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

    Peace be upon you all, Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins at home" Mimi ni Mkristu na kwa habari ya malezi ya heshima na adabu nikiri wazi wenzetu Waislamu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi mila zilizopitwa na wakati zinavyochangia tatizo la ndoa katika umri mdogo na ukeketaji katika mkoa wa Mara

    Picha kwa hisani ya Haki Elimu 1. UTANGULIZI Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo Serikali imejitolea kutoa miaka 11 ya elimumsingi bila malipo kwa wote kuanzia elimu ya awali hadi...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika Temeke (Dar es Salaam) tangu mwaka 2021

    Zaidi ya ndoa 365 zimevunjika katika Manispaa ya Temeke katika kipindi cha kuanzia mwaka 2021 hadi Julai 2022. Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Temeke, Lilian Mafole na kusema chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hizo ni mifarakano, wivu wa mapenzi na kipato duni. Afisa Ustawi amesema kutokana na...
  9. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Katika ndoa, nani anatakiwa kuanza kumsalimia mwezie kati ya mume au mke?

    Hello, Nina best yangu ambaye tulikuwa tunafanya kazi pamoja sasa hivi juzi amekuwa akinisimulia matatizo ya mumewe yaani mumewe amekuwa sio mtu wa kukaa na family yake walau hata weekend sasa juzi mke alichukia sana alikuwa anataman kukaa na mumewe akaondoka bila kumuaga na yeye akataka...
  11. CK Allan

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati muafaka sasa wa Jamii kuelewa ukweli kuhusu Ndoa

    Wakuu, Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never" Yaani kama sio sasa basi ni milele. Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na tusipochukua hatua basi ni milele!! Pamoja na kwamba naandika makala hii katika mashindano lakini...
  12. Memtata

    JamiiForums Tanzania Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

    Habari wakuu, Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa. Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

    Habari wadau. Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira. Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa. Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mnapotengana mnawapa mzigo mzito watoto sio tu wakiwa wadogo bali hata wakiwa watu wazima

    Kwema Wakuu! Huenda ukawa unajiuliza ni Kwa nini Taikon anapenda kujadili masuala ya familia, ndoa, na wanawake. Kwa kifupi tuu ni kuwa Msingi Mkuu wa Jamii ni Familia Bora, familia Bora ni matokeo ya ndoa iliyofuata misingi ya uadilifu. Familia Bora huleta jamii Bora, jamii Bora huzaa taifa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna ex wangu mwenye ndoa imara

    Sijui ni nini lakini wanawake wote kama sio wote ambao nilikua nao kwenye relation wameachika au ndoa zao zina migogoro. Wa kwanza nilizaa nae kipindi nipo olevel nikaahidi kumuoa lakini kabla cjaweka mambo sawa akazaa na jamaa mwingine na hakumuoa na sasa ni single mama. Wa pili huyu tulikua...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania NIMEULIZWA SWALI: Ungekuwa Mchungaji au Sheikh ungefungisha hii ndoa?

    Nilijaribu kujibu hivi... 🎯 Muda umebadilika sana, naweza kukubali au kukataa ila nitakuwa nimebakizwa nyuma sana (old stone) japo mambo ya Mungu hayapitwi na wakati.
  18. Poker

    JamiiForums Tanzania Ndoa haina thamani katika Karne hii ya 21

    Sasaivi hakuna tena umuhimu wa ndoa kama hapo zamani kwasababu zifuatazo: 1. Sasa hivi wanawake wanataka haki sawa na wanaume yaani 50/50 2. Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kusaka pesa za urithi au mirathi mume akifa. 3. Vipato vinazidiana sana 4. Watu wanaoa kwa show off tu 5. Mama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia binafsi ninazozijua za Waliooana kwa Mbwembwe Leo, Ndoa yao ikidumu Miezi 6 tu najipeleka kwa Al-Shabaab au Boko-Haram wakanimalize

    Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
  20. Kiungonguli

    JamiiForums Tanzania Mate sio kilainishi sahihi wakati wa tendo la ndoa na ni hatari kwa afya ya Mwanamke

    Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa watumiaji wa mate hayo wanapoburudika, hasa kwa wanandoa. Wataalamu wa afya wamesema kuna ongezeko la...
Back
Top Bottom