ndoa

  1. kataip

    JamiiForums Tanzania Hizi kesi za wanaume wa leo ni aibu sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada, Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
  2. Jugado

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Habari. Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili. Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini Karne hii mambo ni tofauti. Wanawake hawataki kuzaa watoto wengi. Utasikia wawili wanatosha. Akienda...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanaokimbilia Ndoa za Bomani ili kuoa zaidi ya mke moja, uhalisia ni tofauti, sheria zitakubana sana hautaweza kuongeza mke mpaka mkeo akubali

    Kwa watu hasa wakristo ambao ndoa ya dini zao huwaminya kubanana na wake zao mpaka kifo na wanatafuta mbadala wa kufunga ndoa kwa mataraajio ya kuongeza mke hapo mbeleni, huwa wanadhani ndoa ya serikali / bomani ndio mbadala. Uhalisia ni kwamba, ndoa ya bomani zipo za aina mbili, ya kwanza ni...
  4. Cathy Diwani

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana haki kisheria kugawa mali za wanandoa baada ya kuvunja ndoa?

    Salaam wakuu, Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara. Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo wangu na mtalaka wake watafute watathmini wakakague mali walizochuma kwenye ndoa ili baraza hilo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mwanaume aliye tayari kwa urafiki, uchumba hadi ndoa anahitajika

    Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu zisizozuilika. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtu wa jinsia ya kike. Sifa zangu...
  6. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa inasemaje pale Cheti cha Ndoa kinapokuwa hakijafafanua kama ndoa ni ya mke mmoja au zaidi?

    WanaJF hasa wajuzi wa sheria ya ndoa nina jambo naomba kupata ufafanuzi. Majuzi niliona cheti cha ndoa cha mme na mke waliofunga ndoa ya kikristo miaka kadhaa iliyopita. Kwenye cheti niliona kuna sehemu kimeandikwa ndoa imefungwa kwa madhehebu ya kikristo lakini ile sehemu ambapo cheti...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

    Habari wanajf Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao...
  8. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

    Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu. Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha. Haijalishi yupoje. Ukifanikiwa kumuoa mwanamke mwenye njaa Basi tegemea majanga makubwa Sana ndani ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa za Kanisani Zifutwe , tuwe na ndoa za Serikali tu, mauaji mengi

    Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii. Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

    Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti jiepushe na mambo haya usije kuuawa kwenye mapenzi au ndoa

    Kwema Wakuu! Baada ya kushauri Vijana wa Karne hii ya 21+ mambo ya kuzingatia ili wasijekuuwa na kujiweka matatizoni, Leo nitamalizia na Wanawake ili mambo haya yapungue. Andiko hili nitaliandika Kwa makundi mawili ya watu(wanawake) kundi la Wafuata mifumo ya Kiimani, kundi la pili ni...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kabila la Warangi unaweza kumuoa binamu kwa utani kisha ndoa ikawa ya kweli

    Habari wana JF nimekutana na andiko hili la Adeladius Makwega wa DODOMA. Nafikiri kuna jambo la kujifunza hapa. Warangi ni kabila la kibantu linalopatikana katika mikoa ya katikati ya Tanzania ambayo sasa ni sehemu ya Dodoma. Kwa mujibu wa makadilio ya idadi ya watu ya mwaka 1999 kabila hilo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

    Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana. Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa zinayumba sababu mabinti wengi wana tabia hizi...

    Mara nyingi tunaposikia sheria za MUNGU tunaona kama vile zinatubania tu! Sio ajabu, ndio uongo wa nyoka tangu mwanzo alipomwambia Eva kwamba mkila hamtakufa, sio kwamba MUNGU kawakataza kula kwamba anataka awaepushie kifo kwasababu anawapenda bali ni kwa sababu MUNGU anawabania msiwe kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania watauana sana kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa kama fasheni. Ndoa ni mkataba mzito sio wa kuvamia hovyo

    Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa. Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume. Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

    Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi. Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno 1. Unataka kufanyia nini? Yaani...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sitelekezi mtoto niliyezaa nje ya ndoa

    Watoto ni baraka ndani ya familia; wengi wanatafuta watoto na wengine hukosa kabisa kupata watoto, na hatimaye kukimbilia kulea watoto wa ndugu au wa jamii nyingine. Watoto wakiwa wadogo huwa ni changamoto hasa kwa kuhitaji malezi bora, huduma muhimu, ambazo zitahitajika huduma za kifedha...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
Back
Top Bottom