Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

Helixir

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
462
1,203
Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa.

Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi unapimiwa mpaka linajaa pomoni, Kipindi hiki cha kampeni ahadi na zawadi na tambo za hapa na pale hufanyika Ili kuvutia mwanaume uingie kingi.

Majina kama vile honey, hubby, Wa moyo, my fountain of Joy , my laughter, my protector ,darling ,laazizi , na mengine mengi hutumika, meseji zisizokoma za umekula , umelala umeamka, njoo tufue nguo, sex chat mpaka kuvirusha , heshima na adabu za kuzidi arifu.

Baba la Baba unaamua kutangaza ndoa, umevutiwa na tabia /huba la kwenda, mchumba si ni huyu kumbe mamiloo anakudekerea uingie hapo ndichi ukauone ukweli wa mambo .

Unaoa kwa mbwembwe mingi chalii angu huku ukiwaona waliofelu kwenye ndoa kama hawana akili wewe ndo kishimba siyo kesi harusi inapita, Utamu wa ngoma ingia uicheze, advertise ya kwanza ujauzito na kashkash zake unasema hichi kisirani cha mimba siyo kesi mtoto akizaliwa yote yatakwisha kumbe usipoziba ufa utajenga ukuta unajikuta ukiusahau huo msemo wa wahenga.

Miezi ya kwanza shifre bi mdashi/mamiloo maza hausi harushi maji Wala nini , unae furaha kuitwa baba Fulani for the first time, utaspend lots of time na chalii YAKO, ukimwazia good future yeye Pamoja na family YAKO including huyo nyang'au aliyevaa kinyago cha wema, chalii anaanza kukaa kirambasi kinaanza bse si anajua hupindui mbele cha Mercy au Melvin wako KWA hiyo anatake advantage akizingua umwelekeze hasira anahamishia KWA mtoto, mara azire kumyonyesha, amtelekeze au ambwage KWA kitanda kibabe flank hivi atikise kiberiti , na mara nyingi mbele ya damu YAKO mwana unajikuta ukinyong'onyea na kuumia ukisema ipo siku , mnaanza kuishi Kiwaki huku mkidekereana lini chalii atakua mkubwa.

Dah nimechoka kinyama machalii zangu , inauma ile mbaya ... Rn Nipo KWA sebule Nataka nitoke nikale monde ila namhofia chalii angu.
 
Vumilia mlee watoto, unaweza dhani huyo wako ni bomu kumbe ukisikia ya wenzio unamuona mkeo baruti tu....

Kama anakukera sana jitahidi kuspend muda mwingi nje ya nyumbani, ukirudi upo bwax cheza na watoto kidogo kalaze mkia, just press ignore button maisha sio magumu kiivyo.
Okay mkuu nimekuelewa ninashukuru KWA reply yako
 
Back
Top Bottom