Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,091
16,125
Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo.

Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi

Serikali ya Uhispani ilifikia maamuzi ya kuanzisha wizara hiyo kutokana na kuwa na idadi ndogo ya watoto wanaozaliwa katika taifa hilo ikilinganishwa na idadi ya vifo.

Wataalam wanasema nguvu kazi kwenye mapenzi imepungua kwa kiasi kubwa kwenye taifa hilo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo watu kufanya kazi kwa muda mrefu hali inayowafanya wachoke kushiriki tendo la ndoa pindi warudipo nyumbani.

Aloooo! Haya sasa wanangu wa Mwanachi Scoop kama nawaona mnavyo tamani kupata Uraia wa Uhispania, hahaha! Dondosha komenti yako hapo chini vipi tukupeleke au?


 
Mkuu mbona hata hapa kwetu Tz ipo sema tumeiunganisha kwenye Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto.
Na kama ingejitegemea ingeitwa Wizara ya Jinsia.
 
ikiwemo watu kufanya kazi kwa muda mrefu hali inayowafanya wachoke kushiriki tendo la ndoa pindi warudipo nyumbani.
Point iko hapa. Kiukweli Kama unafanya kazi kwa akili,nguvu,moyo,mwili, mawazo yako yote nakuambia mbususu hutajua Kama ipo na Ina ladha gani Mana unakimbizana na deadlines.

Sie Africans muda mwingi hatuna kazi Ni kula mbususu. Kama hapa nimetoka kuchakata mbususu imekuja saa mbili ikaondoka saa nne tayari viwili vya kiafya kumbuka sitafuti kuwa champion jamani kwa mbususu.

Africans are good at sex hajakosea yule baba
 
Ukweli inawezekana vyakula vyao vinafanya wanaume wa huko wasiwe na nguvu,mwanaume wa afrika akiwa busy akapata hela ndio anakuwa na michepuko na wake wengi waache ujinga
 
Back
Top Bottom