Katika ndoa, nani anatakiwa kuanza kumsalimia mwezie kati ya mume au mke?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Hello,

Nina best yangu ambaye tulikuwa tunafanya kazi pamoja sasa hivi juzi amekuwa akinisimulia matatizo ya mumewe yaani mumewe amekuwa sio mtu wa kukaa na family yake walau hata weekend sasa juzi mke alichukia sana alikuwa anataman kukaa na mumewe akaondoka bila kumuaga na yeye akataka kuondoka akaniambia au nije kwako ili akiludi asinikute Mimi nikamjibu kuwa now sipo nyumbani akasema sawa.

Sasa leo ananipigia simu anasema mumewe leo kamsalimia wakati Jana alipo ludi kutoka job hakumsalimia sasa leo morning kamsalimia mke akagoma kupokea salamu basi yule mumewe akamwambia baba yake kilicho tokea baba mkwe akasema wewe mwanaume utakiw kumsalimia mkeo mkeo ndio anatakiwa kukusalimia wewe acha.urofa yule rafiki yangu kachukia hio kauli Mimi nimekosa cha kumshahuri ila ukiangalia mumewe Hana muda kabisa na yeye mpaka siku moja alimwambia wewe sio wa muhimu kwangu wa muhimu rafiki yangu nimshahuri vipi?
 
Kumbe mtu na Hawala yake, hao wazinifu tu hacheni kuishusha hadhi ya ndoa hakuna mume na mke hapo
 
Hello,

Nina best yangu ambaye tulikuwa tunafanya kazi pamoja sasa hivi juzi amekuwa akinisimulia matatizo ya mumewe yaani mumewe amekuwa sio mtu wa kukaa na family yake walau hata weekend sasa juzi mke alichukia sana alikuwa anataman kukaa na mumewe akaondoka bila kumuaga na yeye akataka kuondoka akaniambia au nije kwako ili akiludi asinikute Mimi nikamjibu kuwa now sipo nyumbani akasema sawa.

Sasa leo ananipigia simu anasema mumewe leo kamsalimia wakati Jana alipo ludi kutoka job hakumsalimia sasa leo morning kamsalimia mke akagoma kupokea salamu basi yule mumewe akamwambia baba yake kilicho tokea baba mkwe akasema wewe mwanaume utakiw kumsalimia mkeo mkeo ndio anatakiwa kukusalimia wewe acha.urofa yule rafiki yangu kachukia hio kauli Mimi nimekosa cha kumshahuri ila ukiangalia mumewe Hana muda kabisa na yeye mpaka siku moja alimwambia wewe sio wa muhimu kwangu wa muhimu rafiki yangu nimshahuri vipi?
Baba is the head of the family, wife anawezaje kulala hadi baba aanze kuamka na yeye bado amelala
huyo si mke bora
Mithali31:10-31
 
Back
Top Bottom