Ndoto: Je, nimefunga ndoa na jini?

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,013
Habarini

Aisee nimeota ndoto ya ajabu sana leo.

Nimeota nafunga ndoa na mwanamke mzuri mweusi kabila mhaya and nimeonana hadi na wazazi wake usiku huo tena nikiwa nusu nafahamu.

Hii ndoto nimeiota karibu usiku mzima coz nlikuwa nikistuka nikipitiwa tu usingizi inaanza tena. Nimefunga hii ndoa nikiwa nusu ninafaham and nusu nimesinzia, mpaka nlikuwa najishika naona nipo na faham ila tukio linaendelea
Ndoa imeisha kufungwa nikapelekwa kutambulishwa kwa baba wa mschana, bahati mbaya nimesahau jina la baba mkwe ila hadi naamka nlikuwa nalikumbuka.

Nimetambulishwa nikiwa najitambua japo nipo usingizini. Mschana anafanan na dada ambaye namdai deni kubwa almost molion 3 ila hatujawahi kuonana nlimkopesha tu kwa kutambulishwa na ndugu yangu kuwa kama mdhamini wake nikamkopesha hiyo hela kwa awamu tatu na hajalipa hata senti.nlimjua sura kupitia status zake.
 
Mkuu hii ni very serious issue, usiichukulie poa.

Hapo umeingia kwenye maagano ambayo yatakusumhua sana kwenye maisha yako.
Fanya maombi kwa kufunga ukimuomba Mungu avunje hilo agano uliloingia. Kama huwezi mtafute mchungaji yeyote muelezee akufanyie maombi.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimeshtuka coz nimeota nikiwa km nusu najitambua vinginevyo ningechukulia ndoto kawaida
 
Habarini
Aisee nimeota ndoto ya ajabu sana leo.
Nimeota nafunga ndoa na mwanamke mzuri mweusi kabila mhaya and nimeonana hadi na wazazi wake usiku huo tena nikiwa nusu nafaham
Hii ndoto nimeiota karibu usiku mzima coz nlikuwa nikistuka nikipitiwa tu usingizi inaanza tena.
Nimefunga hii ndoa nikiwa nusu ninafaham and nusu nimesinzia, mpaka nlikuwa najishika naona nipo na faham ila tukio linaendelea
Ndoa imeisha kufungwa nikapelekwa kutambulishwa kwa baba wa mschana, bahati mbaya nimesahau jina la baba mkwe ila hadi naamka nlikuwa nalikumbuka. Nimetambulishwa nikiwa najitambua japo nipo usingizini.
Mschana anafanan na dada ambaye namdai deni kubwa almost molion 3 ila hatujawahi kuonana nlimkopesha tu kwa kutambulishwa na ndugu yangu kuwa kama mdhamini wake nikamkopesha hiyo hela kwa awamu tatu na hajalipa hata senti.nlimjua sura kupitia status zake.
Upweke mbaya sana aisee fanya kuvuta jiko mkuu
 
Muombe Mungu na usikate tamaa kuomba. Ukiona shida bado ipo basi tafuta watumishi wa Mungu unaowafahamu wakusaidie kukutoa kwenye agano.
 
Mkuu hii ni very serious issue, usiichukulie poa.

Hapo umeingia kwenye maagano ambayo yatakusumhua sana kwenye maisha yako.
Fanya maombi kwa kufunga ukimuomba Mungu avunje hilo agano uliloingia. Kama huwezi mtafute mchungaji yeyote muelezee akufanyie maombi.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Bila shaka wewe ni mlokole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom