ndoa

  1. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanawake wanapenda harusi kuliko ndoa

    Je, umeoa au kuolewa, shughuli yako ya harusi ilikuwaje na nani alikuwa msuka mipango wewe au mume wako? Nàam suala la kuoa na kuolewa limekuwa gumzo na muda mwingine kuleta mtazamo tofauti katika jamii. Sio mara moja au mbili umesikia kuwa wachumba wameshindwa kuoana kwa sababu familia moja...
  2. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wachungaji hadi lini mtavunja ndoa za watu?

    Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji. “Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, tukichinja kuku...
  3. DANIEL NOAH

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hatua za kufuata ili kupunguza au kumaliza matatizo ya Ndoa katika jamii zetu

    Ndoa ni muunganiko wa mtu jinsia ya kiume na mtu mwingine jinsia ya kike na kwa muunganiko wao husababisha pia familia zao kuungana na kuwa na mahusiano baina yao.Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ukatili katika ndoa nyingi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao husababishwa...
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Channel za kiislam kuzungumzia zaidi mambo ya ndoa

    Mimi ni mpenzi sana wa kutizama channel za waislam hasa TV Imaan na Swahili TV ya mombasa. Changamoto inayojitokeza ni mijadala inayoendeshwa katika channel hizi mara nyingi huzungumzia mambo ya ndoa. Kupeana mapenzi moto moto kwa wanandoa (mawarda) na kuoa wake zaidi ya mmoja, kuna wengine...
  5. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

    Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi. Safari yangu ilianzia Morogoro. Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Habari wanaJF! Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu. Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

    Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani hapa Kabla ya kukutana na mke wangu nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi....lkn mahusiano...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia ndoa ya utotoni, muoaji na muolewaji wote wakiwa chini ya miaka 18

    Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na maofisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, wamezuia ndoa ya utotoni aliyokuwa akifungishwa mtoto wa miaka 15 kwa mahari ya ng'ombe kumi na fedha Sh200, 000 kwa mtoto mwenzake mwenye miaka 17. Tukio la kufungishwa ndoa hiyo lilikuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  10. Willima

    JamiiForums Tanzania Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  11. Kiti Chema

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mabinti: Usikubali kuamuliwa na mtu, maamzi ya maisha yako yategemee furaha yako

    Nawasalimu nyote wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye maada, Ilikuwa mwaka furani nilipata demu mtaani kwetu aliyekuja kuishi kwa shangazi yake akitokea mkoa fulani hivi, Nilipomtongoza alinisumbua kama wiki mbili hivi kukubali,mwishowe akakubari Mahusiano yetu yalidumu kwa mda wa miezi 8...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mapenzi au ndoa kwa wenzi wanaoishi mbalimbali

    Habari zenu wakuu. Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo. Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa yavunjika kwa kusikiliza maneno ya mama mkwe, binti aanza kuhaha

    Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende. Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi kubwa ya kifahari lakini ndoa yake imevunjika, khaaa!! Kwa ninachoweza kusema ile ndoa imevunjwa kwa...
  14. Hosea Ben

    JamiiForums Tanzania SoC02 Upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kumaliza kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  16. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  17. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

    Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao. Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo Ndoa inakuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi! Nikakaa chini na kutafakari kama huyu ninayetaka kumuoa ni mke wa kuishi naye kwenye shida na raha au anakuja kushiriki tu kwenye matumizi ya pesa zangu...
Back
Top Bottom