ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Open Spaces ndani ya Jiji la DSM bado zipo?

    Kumekuwa na ubadilishwaji wa matumizi ya maeneo ya umma ya wazi kuwa maeneo ya shughuli za halmashauri.. Ni lini tutakuwa na mipango endelevu ya kulipanga jiji na kutokubadilisha matumizi ya maeneo? Mfano: Kinondoni Biafra sasa kumejengwa yard ya magari, Kinondoni Ada Estate eneo la wazi...
  2. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Maisha Ndani Ya Umasikini Ni Darasa Tosha

    MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA. Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi. Kwa wale waliopitia maisha ya umasikini au wale wanaopitia sasa maisha ya umasikini wanaweza kunielewa vizuri bila shaka. Lakini...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  4. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kalag baho na jimama langu la kiitali lililonizidi kila kitu leo ndani ya Mtende- makunduchi

    Asee dunia kubwa, Narudia tena wazee dunia kubwa sana. Leo nimelitoa out jimama la kizungu nililolipata miezi kadhaa nyuma huku nikilipelekea moto kila siku mana halina period. Age went! Tumekuja maeneo ya makunduchi kula bulgogi, lavasta na manalkeesh. Kuna upepo wa kutosha na watoto wengine...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya Klabu ya Simba?

    Ni zaidi ya miaka minne sasa, mambo ndani ya klabu ya Simba yanaonekana kuwaendea kombo. Timu ambayo ilijenga heshima Afrika Mashariki na kutisha kwenye mashindano ya CAF, kila siku inaonekana kuzidi kupoteana. Pamoja na changamoto za kiufundi na usajili, kuna jambo jingine linaloonekana wazi...
  6. Halaiser

    JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa sifa za kuwa Kiongozi ndani ya UVCCM?

    Kumekuwepo na maneno ya sintofahamu toka kwa Viongozi wa UVCCM kwa nyakati tofauti. Hawaangalii umri wala nafasi ya mtu kwenye Jamii.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

    Nilizaliwa katika imani ya kikristo katika dhehebu la kikatoliki nilibatizwa nikiwa najitambua baada ya kufanya mafundisho,lakini kila kitu tulikuwa tunakalilishwa na siku ya mtihani alikuja Askofu anakuulizwa swali unamjibu, Nikapata na sakrament ya kitubio na kipaimara yaani naruhusiwa...
  8. American nigga

    JamiiForums Tanzania Nauza Vitu Vya ndani Used Nahama.

    Nauza vitu vya ndani sofa, meza, kingamuzi cha azam, meza ya tv, na nk. Nicheki kwa namba 0710504065
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa...
  10. Poker

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka? Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi! Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF? Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani. Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania NGAO YA NDANI: Jinsi mazoezi yanavyolinda viungo vyako dhidi ya majeraha

    Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla. Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania UDOM ondoeni hao ombaomba ndani ya eneo lenu, mnadhalilisha hicho chuo!

    Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto wadogo umri 8-12 wakifanyika kama labor power pale UDOM kwenye link niliyoweka hapo juu, sikumuamini...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

    Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nimeacha pilau ndani nikijua naenda kukutana na Berger/pizza

    Cha ku suprise nimeenda kukutana na ugali ndondo
  17. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  18. A

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

    Je Ungependa kupandisha mauzo Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe Jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende pamoja Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri Inatumiwa Na kampuni Chache Sana Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao Kama Vile...
  19. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

    Salama wakuu. Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba. Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka. Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua. Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
Back
Top Bottom