Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Habari zenu huku,
Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya kijamii.. lakini kupitia nyuzi za watu , nilijifunza na kuelewa mambo mengi sana.(kipindi hicho jf ilikua kielimu zaidi).
Jf ikanifundisha ujasiri na namna ya kuishi katika social media, nikajikuta nimeweza kuanzisha biashara zangu na kuuza online, kabla sijapata ofisi.
Jitihada zangu nimezifanya kwenye social medias ikiwemo Instagram , Facebook na Tiktok na nimepata marafiki, wateja, familia kupitia mitandao.
Na hata biashara zangu zimekuwa powered na mitandao ya kijamii na watu wake.
Nimeandika andiko hili kuwakumbusha wadogo zangu wanaopambana na kuwa na malengo ya kufika sehemu fulani kwamba,
Mitandao inaweza kukujenga ukawa imara
Au kukubomoa ukawa dhaifu,
Kama unafanya online business, Ifanye kwa utulivu na uaminifu na itakuletea matokeo makubwa.
Pia usiache kuwa na consistency na kitu unachokifanya leo ili uone matokeo kesho.
Stay positive.