nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  2. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

    Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania. 1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu. 2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari). 3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari) 4. Kujihusisha na...
  3. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa ufaransa wameanza kuondoka rasmi Nchini Niger

    Wanajeshi kutoka nchi ya Ufaransa walioletwa Niger kulinda usalama dhidi ya vikundi vya kigaidi wanaonekana kwenye video hapo nchini wakifungasha virago maeneo ya Airport ambapo ndege yao ilitua hili kuanza mchakato wa kuondoka nchini humo baada ya kauli ya kiongozi wa kijeshi nchini Niger...
  4. JamiiForums Tanzania Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

    Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo. Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
  5. JamiiForums Tanzania Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

    The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
  6. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kitaifa nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/VuNUt9YAn8Q?si=JkkkUnFuBzu6q8PP Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Penthouse juu ya nyumba ya wapangaji yawa Kivutio nchini Kenya

    Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants). Mama huyo ambae ni nurse kwa taaluma anaefanya kazi USA aliamua kuja na hio idea ambapo baada ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

    Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike. Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi === Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wafaransa wana kunguni, chawa, wasiingie nchini hadi wapite josho airpoert zertu.

    Ni wasi wafaransa sasa wamethibitika kuwa wachafu ,hawaogi na wana kunguni na chawa. Serikali ijenge josho, mithili ya josho la ng'ombe. Wote wanaoingia nchini wapitie humo. Serikali itanishukuru baadaye!
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Mikutano ya Kimataifa Inayofanyika Nchini ni Fursa Kukuza Kiswahili

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOFANYIKA NCHINI NI FURSA YA KUTANGAZA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mikutano ya Kimataifa inayofanyika hapa nchini ni fursa ya kutangaza lugha adhimu ya Kiswahili ambayo ni mojawapo ya Lugha Rasmi...
  14. JamiiForums Tanzania Watu 2,000 waripotiwa kufariki kwenye Tetemeko la Ardhi nchini Afghanistan

    Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
  15. JamiiForums Tanzania Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini

    Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi. Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha. Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tutafika lini huku: Mbunge mmoja Marekani apitisha hoja ya kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe

    Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe! Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana amewasilisha hoja ya kupitisha Azimio la Bunge la kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe akidai ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kati ya 2018 hadi 2022 kulikuwa na Matukio ya Uhalifu 273,862 Nchini Tanzania

    Takwimu za Uhalifu Nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka 5 (2018 - 2022) zimeonesha kulikuwa na jumla ya Matukio yaUhalifu 56,228 yaliyoripotiwa ambayo yalihusu Mauaji, Ubakaji, Ulawiti, Wizi wa Watoto, Kutupa Watoto, Unajisi na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Pia, kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

    Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni. Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa. Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo. Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Uganda ajitangazia msiba ili kupima marafiki wa kweli

    Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo. Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi. Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam. Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli. Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…