Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,224
22,305
Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania.

1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu.
2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari).
3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari)
4. Kujihusisha na biashara yoyote haramu hasa ile ya uuzaji wa madawa ya kulevya.
5. Wizi wa aina yoyote.
6. Kukutwa na nyara za serikali.

Ongezea mengine.
 
7. Kuabudu dini za maboti zisizo na tija maishani mwetu
8. Kuabudu wasanii wa dini a.k.a. Manabii, Wachunaji, Mtukufu, Sheikh, Mufti, Ustadh
9. Kushabikia vyama vya siasa bila kutumia akili
10, Kupenda bongo fleva na bongo movie
 
Namba moja kwakweli ndoa zimekuwa na joto ndani hakuna kupumua, wake / waume wanatafuta " afueni" nje.
Hapa wanazileta mali nje wenyewe .

Zinapigwa kiroho safi tu hakuna namna .mwenye mskosa ni huyo mume / mke anayeacha ndoa ndani
 
Yote hapo uliyoandika mimi ndio shughuli zangu za kila siku na maisha yanaenda fresh tu
 
Back
Top Bottom