nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania walioonesha uvumilivu wa kisiasa nchini

    Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini. Miongoni mwao ni hawa wafuatao: 1. Mzee Ally Hassan Mwinyi 2. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete 3. Freeman...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zaytun Swai: Rais Samia ni Mhifadhi na mtunza Mazingira namba moja nchini

    "Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Tunamtakia Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani

    NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote...
  5. JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  6. JamiiForums Tanzania Hii hapa ratiba ya Hatua ya 16 Bora ya AFCON 2023 Nchini Ivory Coast

    Baada ya Tanzania kushika nafasi ya mwisho katika Kundi F na kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataofa ya Afrika (AFCON2023), ratiba ya Hatua ya 16 imejulikana. Timu ambazo zimeingia hatua hiyo kupitia nafasi ya Mshindi wa Tatu Bora ni Guinea, Namibia, Mauritania na wenyeji Ivory Coast...
  7. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamefanikiwa kutuonyesha na kuionyesha dunia kwamba polisi Hutumika kuzima fikra na mahitaji ya haki nchini

    Haya maandamano yaliyofanyika, utulivu ulionekana na mashirikiano chanya yaliyowekwa na Jeshi la Polisi ni wazi kwa miaka mingi wanasiasa wa CCM wamekuwa wakitumia jeshi la Polisi vibaya kudhibiti mawazo na fikra mpya. Maandamano haya yamefanyika kwa ustaarabu mkubwa yakihusisha familia za...
  8. JamiiForums Tanzania Miili ya Watanzania waliofariki Septemba 2023 kurejeshwa nchini kesho Januari 25, 2024

    MIILI ya Watanzania watatu waliofariki dunia Septemba mwaka jana, kwenye ajali ya moto Afrika Kusini, inatarajiwa kurejeshwa kesho nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana, Watanzania hao waliopoteza maisha ni Said Mohames Kisarazo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano pekee yanatosha kuonesha utekelezaji wa 4R na Demokrasia kukua nchini?

    Wakuu, Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina Mbowe, Sugu zikitumika kama rejea ya kuwa hata wapinzani wenyewe wanakubali kuwa sasa Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu, Januari 24 na 26, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Pahala Nugraha Mansury kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  12. JamiiForums Tanzania Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii inashindwa kuwakaribisha Spain/Brazil/ England/ France kujenga academy hapa nchini ili kuvumbua, kulea na kukuza vipaji vya football?

    Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele. Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao. Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu Aina za Kodi Zinazotozwa Pindi unapoingiza Gari Nchini

    Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini; 1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value) 2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024

    21 January 2024 Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024, kufuatia mwaliko wa Rais wa...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

    Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki. Jogoo mbegu Hannah TODAYS
  17. JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Upungufu wa sukari nchini utaisha mwezi Machi

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari. Akizungumza Waziri wa Kilimo...
  18. JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa matumizi kamili ya huduma za saa janja nchini

    Habari za muda huu wanajamvi. Naenda moja kwa moja kwenye mada.. Mpaka hivi leo matumizi ya saa janja za mkono (smart watch) yameongezeka sana hapa nchini na maeneo mengine duniani, hali hii imetokana na kuongezeka kwa uelewa juu ya teknolojia inavyoweza kusaidia kwenye maisha ya kila siku...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigwangalla: Nitawajibika lakini ukweli ni kuwa Mifumo yetu nchini ni dhaifu

    Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti? Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…