nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Watu waandamana Nchini Marekani kupinga mashambulizi dhidi ya Yemen

    Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen. Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

    Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea ≈============== UK Prime Minister...
  3. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Watu wenye ulemavu katika maandalizi ya michakato ya kupiga kura Nchini

    Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Majizzo awashukia Machawa nchini

    Mmiliki wa Efm Francis Ciza almaarufu "Majizzo", amewashukia Machawa wanaoishi kwa kutegemea kuwasifia watu wenye pesa mjini. Kupitia mtandao wake Majizzo ameandika "Hapana, usiwe proud kuitwa ‘Chawa’. Labda kama kuna maana nyingine, lakini hii ya kwamba wewe ni mtu tegemezi na anayekula kwa...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kuhusu Ajira nchini

    Kwa wale vijana wanaopambana kutafuta ajira Serikalini na Sector binafsi kuna la kujifunza hapa.
  6. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Mnada wa kuuza wake utawala wa Victorian nchini Uingereza

    Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza walikuwa wanafanya vitu kwa njia ya ajabu na ya moja kwa moja. Kabla ya talaka kuwa kisheria, njia...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tunauza Rozela safi toka shambani. Agiza popote ulipo nchini Tanzania

    Mzigo umeisha
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Kudhibiti dawa za kulevya nchini Ndugu Aretas Lyimo namwona kama kiongozi serious na anayeweza kulisaidia Taifa; hongera

    Huyu Bwana anahitaji pongezi kubwa sana. Anapambana na dawa za kulevya proffesionally siyo kisiasa kama watangulizi wake. Amebiresha mambo mengi kwenye taasisi hii kwa muda mfupi. Ameondoa Tambo za vyombo vya habari, amepiga marufuku kuchafua watu kisa siasa na sasa anakamata na kuchunguza...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Balozi wa India Nchini Tanzania amuaga rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax

    Balozi wa India Nchini Tanzania Amuaga Rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax Tarehe 03 Januari, 2024 Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Binaya Srikanta pradhan amemtembelea Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt.Stergomena Lawrence Tax (Mb), ofisi kwake Upanga...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chatanda ataka 20% ya Wagombea nchini wawe Wanawake

    Chatanda Ataka 20% ya Wagombea Nchini Wawe Wanawake Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amesema kutokana na hali ilivyo wanataka asilimia 20 ya wagombea wa majimbo, udiwani na serikali za mitaa wawe wanawake hasa katika uchaguzi ujao. Chatanda amebainisha hayo wakati...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Madereva bajaji wapanga kupandisha nauli katika mikoa mbalimbali nchini. Viongozi wa vijiwe vya bajaji wahusika

    Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo ya trafiki kwa siku imepanda kutoka elfu moja hadi elfu mbili kwa bajaji moja hivyo kuchochea gharama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini mauaji yamezidi kuongezeka nchini?

    Mauaji yamezidi kuongezeka nchini. Matukio ya vifo vya utata vinavyofanywa na wanajamii pamoja na dola vimekuwa vingi. Mapuuza yamezidi kuwa mengi na Mamlaka za uchunguzi zimezidi kutoa ufafanuzi wenye utata kwenye matukio yanayofanywa na dola au wananchi. Hakuna waziri anayekemea hali hii...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania ISAREL yamuua Saleh Al-Arouri, Makamo Mwenyekiti wa Magaidi ya Hamas ,alikua kajificha Nchini Lebanon!!

    Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande. Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vichwa Vipya 3 vya Treni ya Umeme SGR Vyawasili Nchini

    TRC YAPOKEA VICHWA 3 VYA TRENI YA UMEME SGR KUTOKA KOREA KUSINI Shirika la Reli Tanzania limepokea vichwa vipya vitatu (3) vya treni za umeme vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya ‘Sung Shin Rolling Stock Technology’ (SSRST) kutoka...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, ndugu zako wanasiasa wenye chuki na wewe pamoja na wataalamu wa Afya wanasema kuingiza dawa ambazo hazijasajiliwa nchini ni ndoto

    Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania. Kwa akili alizonazo hawezi kukubalika ndani ya CCM kirahisi na mwisho wa siku watampiga Majungu hata nafasi yake ya Ubalozi apokonywe. Waliona akiwa Malawi anafaidi wakampeleka Cuba . Amefika...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaua viongozi 11 wa jeshi la Iran, nchini Syria

    Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza. ======= Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning. The commander of the...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi yafungua ubalozi nchini Burkina Faso baada ya miaka 30

    Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo. Ufaransa ililaani mapinduzi ya Burkina Faso pamoja na katika Nchi jirani za Mali na Niger. Hatua hiyo...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea Christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria source >>...
Back
Top Bottom