Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.
Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.
Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini;
1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value)
2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
21 January 2024
Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024, kufuatia mwaliko wa Rais wa...
Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki.
Jogoo mbegu Hannah TODAYS
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo
Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo kuathiri wa uchakataji na kupelekea uwepo wa upungufu wa sukari.
Akizungumza Waziri wa Kilimo...
Habari za muda huu wanajamvi. Naenda moja kwa moja kwenye mada..
Mpaka hivi leo matumizi ya saa janja za mkono (smart watch) yameongezeka sana hapa nchini na maeneo mengine duniani, hali hii imetokana na kuongezeka kwa uelewa juu ya teknolojia inavyoweza kusaidia kwenye maisha ya kila siku...
Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama ukweli; kama ni ukweli tunafanyaje ili kudhibiti?
Badala ya kunyoosheana kidole, ama kutaka umbeya ni...
Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,
Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..
Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
1. Kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji Kibu Denis katika mechi za Afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya Zambia na Congo DR itakuwa ni kwa kutuzuga tu ila hatompa dakika 90 bali atampa nusu tu yaani dakika 45...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi.
Mkurugenzi huyo ameelezea...
Serikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika.
Je, hili hili suala limefikia wapi??
Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya taaluma mbali mbali.
Ni takribani siku kumi...
Hivi karibuni, Shirika la Habari la CBS la nchini Marekani lilichapisha waraka kuhusu safari ya ujumbe wake mkoani Xinjiang. Tofauti na habari zisizo za kweli zinazotangazwa na vyombo vingine vya habari vya nchi za Magharibi, waandishi wa habari wa CBS walieleza kile walichokiona na kukisikia...
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi.
Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri muda ukivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya nikaona hata isiwe shida acha nijipumzishe na kazi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
bado
ccm
chalamila
dar
january
jiji
kiakili
kufanya
kuhusu
kuzuia
maandamano
madhalimu
mafisadi
magonjwa
majeshi
matatizo
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
mwezi
nchini
siku
siku 10
tarehe
usafi
wanajeshi
wito
Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika
Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
Tumekuwa tukipewa updates za ujio wa treni ya kisasa. Kila inapoletwa updates wafu waliowahi kusafiri nje ukataa kwamba hizi zimepitwa na wakati siyo treni mpya.
Ukisoma huku kila uchwao wapo viongozi wa serikali na chama waliowahi kutetea kwamba zile zilizoletwa ni vichwa vya kisasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.