nchi

  1. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  2. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufuata, unapotaka kumuoa Afisa Usalama(Mwanamke)? Anaruhusiwa kukueleza siri za nchi?

    Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia. Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje? Kwani wanaishi kama digidigi hawaonekani? Nisaidieni kwa hili.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Tanzania kuingia nchi za uchumi wa kati, bado inaendelea kuwa katika kundi la Nchi Masikini Kuliko Zote Duniani (LDC)

    NI kweli hakuna cha kushangilia wala kujisifia kwamba sasa tumekuwa katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati. Kumbukeni kwamba watu hao hao wanaosema Tanzania sasa iko uchumi wa kati, ndio wanaotoa vigezo vya kuendelea kuiweka Tanzania katika kundi la Nchi Masikini Kuliko zote Duniani (LDCs)...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani nchi kuhamia kundi la nchi zenye uchumi wa kati?

    Ninavyojua mimi kuna nchi ambazo hazitaki kuhamia huko kwa sababu ukishakuwa huko unajiondoa kwenye kundi la nchi zinazotakiwa kusaidiwa na kupata misamaha baadhi na unahamia haraka kwenye kundi la nchi zinazokopesheka. Kwa maana hiyo Tanzania imepata sifa ya kuwa nchi ya kupata mikopo zaidi...
  5. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Watanzania mnaokaa nje ya nchi acheni uzembe, rudini kuchagua Rais na viongozi wengine

    Dada na kaka zangu mlio nchi za nje, mtapoteza haki yenu ya kuchagua viongozi hadi lini, jitahidini mrudi nyumbani Tanzania October hii mpige kura ili muache kulalamika kwa kuchaguliwa viongozi msiowataka. Mkija msitusahau kuja na zawadi ya Pizza na baga,pia mje na wajomba na shangazi wetu...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema kuzunguka nchi nzima kumnadi Rais Magufuli

    Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP Taifa Pia soma Uchaguzi 2020 - TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuchukua waamuzi kutoka nje ya nchi

    Mchezo wa mpira wa miguu ni miongoni mwa michezo inayovuta hisia za wengi haoa nchini na nje ya nchi lakini kutokana na matukio yanayoendelea ya waamuzi kuja na maamuzi yao ni wazi tunapoelekea sio pazuri nawashauri bodi ya ligi na TFF kwa mechi kubwa ni bora wakachukua waamuzi kutoka nje ya...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

    Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine. Watu hao ni 1. Dkt. John Pombe Magufuli. 2. Prof. Palamagamba Kabudi 3. Prof. Joyce Ndalichako 4. Paul Makonda
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kama nchi tumepoteza weledi wa uongozi na kuelekea zaidi kwenye uongozi wa mtu mmoja au u-imla

    Wakati wa Baba wa Taifa na waliomfuata hadi 2015 kulikuwa na nidhamu kubwa ya uongozi. Viongozi walijitambua na kuwaheshimu viongozi wenzao. Utaratibu ulifuatwa kuwachukulia hatua wale waliokuwa na makosa. Uongozi ulikuwa dhamana ya taifa zima sio dhamana unayopewa na mtu fulani. Demokrasia...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Nchi haina hata mafuta watu mnashangilia

    Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta. leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji...
  11. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Chadema lazima tuchukue nchi endapo Mnyika atatuongoza vizuri

    Mnyika naomba usikubali watu walioshindwa kuitoa CCM madarakani kuanzia mwaka , 1995 kutuingilia katika mipango yetu yakuifuta CCM. Mh, Mbowe tunaomba ukae pembeni, Bila kumsahau, Lipumba na Zitto kabwe na Maalimu Seif. Tanzania Rais ni Taasisi inayochaguliwa na mfumo Wananchi niwawakilishi tu...
  12. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

    Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
  13. Travis Walker

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kutengeneza account ya paypal katika nchi zisizokubali ikiwemo Tanzania

    Habari, wakuu. Natumai muko wazima na afya kamili. Ninapenda kuwajuza ya kwamba natoa ofa ya kutengeneza business account ya paypal na kuweza kupokea hela straight katika credit card yako au katika acount yako ya mpesa kupitia M-PESA MasterCard. Hii itafanya kazi duniani kote bila ya usumbufu...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maalim Seif kuunguruma Zanzibar, ni kwenye ukumbi wa kisasa wa Hotel Verde, nchi kutikisika

    Wote mnakaribishwa .
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Billionea Laizer amethibitisha utajiri wa nchi yetu

    Kwamba mawe ya dhahabu, almasi, Tanzanite yaliyoko ardhini yana utajiri ambao hakuna nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani inaweza kufikia thamani take. Rutuba ya ardhi iliyoko. Tanzania ni zaidi ya majengo yote yaliyoko Ulaya na Marekani. Samaki tulionao kwenye maziwa na bahari utajiri wake ni...
  17. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'. Jair Messias Bolsonaro. Taarifa kamili: Katika uamuzi uliotolewa...
  18. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Kuaminishwa kuwa suluhisho la matatizo ya Waafrika itatokea kupitia ubobezi katika duru za diplomasia zenye mtazamo wa nchi za Ughaibuni

    MAWAZO YALIYONIJAA KICHWANI DHIDI YA MSAADA WA VYANDARUA VYA KUJIZUIA NA MALARIA TULIVYOWAHI KUPATIWA NA MARAFIKI ZETU WA UGHAIBUNI NA JITIHADA YA WENZETU WOTE NCHINI WALIOIFANIKISHA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE Kwanza, nimekuwa nikimfikiria sana yule mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Marekani...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

    Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu! Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA...
  20. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Wakenya walivyoiuza nchi yao kwa mabeberu

    Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe. Sasa sahau...
Back
Top Bottom