Watakaobaki CHADEMA ndio watu wanaotakiwa kupewa nchi.

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Watakao baki chadema ndio watu wa kuaminiwa na kupewa nchi toka 2015 tayari tumejua wapi wanaipenda Tanzania na wapi ni wasaliti. watu wanaopata misuko suko kipindi cha miaka 5 na bado wakagoma kuhongwa na Magufuli hakika awa watu itabidi tuwaheshimu.

Wale wanaoelewa mambo ya kiusalama watakuwa wamenielewa wanasiasa, wafanyakazi wanaokubali kuhongwa uwa hawapaswi kuendelea kuwepo.

Kwanza kwa nchi makini uwa wakimaliza kuwatumia wanawaua tena ili kuhofiwa kuja kununuliwa tena na upande walipotoka (kuwa double agents)

ningekuwa mimi ni Magufuli ningewatumia halafu baada ya muda ningewapiga risasi wote.

watakao baki chadema mpaka uchaguzi ukapita ndio watu wa kuwaamini na kuwapa uongozi kwa sababu ya uaminifu.
 
Watakaochukua dola nchi Hii ni wale ambao hawajawahi kuwa wana ccm
 
CCM wenyewe wanawajua CHADEMA halisia hatakuwafuata kujaribu kuwadokezea kuwanunua wanaogopa. We utathubutu kumwendea Halima Mdee, hata ungekuwa na burungutu ulokabidhiwa Lumumba kabla hata hujamfikia unaanza kujambajamba ntaanzaje kusema.
 
Mkuu ni kwa nini unawaita Watu kuwa ni Misukule !?.Ni kwa nini usitoe Maoni yako kwa kumpinga mleta Mada kutokana na alicho kiwasilisha ?.Jenga Hoja Jamii ikuelewe acha kejeli.
Kweli kiongozi unaweza jenga hoja bila matusi na ukaeleweka vizuri ila niseme kabisa uchaguzi Wa mwaka huu Wenda ukawa na hamsha hamsha kuliko Wa 2015 maana kila figisu zinavyo endelea ndivyo wananchi wanakua alert kufuatilia.Ngoja niweke kitambulisho cha mpiga kura vizuri siku ya uchaguzi hata nikiwa km 2000 kutoka kituo changu cha kupigia kura lazima nikifuate
 
Mkuu ni kwa nini unawaita Watu kuwa ni Misukule !?.Ni kwa nini usitoe Maoni yako kwa kumpinga mleta Mada kutokana na alicho kiwasilisha ?.Jenga Hoja Jamii ikuelewe acha kejeli.
Wewe unaweza kjenga hoja kumshawishi muumini wa Gwajima kwamba asimwabudu Gwajima ?
 
Watakao baki chadema ndio watu wa kuaminiwa na kupewa nchi toka 2015 tayari tumejua wapi wanaipenda Tanzania na wapi ni wasaliti. watu wanaopata misuko suko kipindi cha miaka 5 na bado wakagoma kuhongwa na Magufuli hakika awa watu itabidi tuwaheshimu.

Wale wanaoelewa mambo ya kiusalama watakuwa wamenielewa wanasiasa, wafanyakazi wanaokubali kuhongwa uwa hawapaswi kuendelea kuwepo.

Kwanza kwa nchi makini uwa wakimaliza kuwatumia wanawaua tena ili kuhofiwa kuja kununuliwa tena na upande walipotoka (kuwa double agents)

ningekuwa mimi ni Magufuli ningewatumia halafu baada ya muda ningewapiga risasi wote.

watakao baki chadema mpaka uchaguzi ukapita ndio watu wa kuwaamini na kuwapa uongozi kwa sababu ya uaminifu.
Kwa sifa kama hiz anazo Sema mh diwan walizo nazo mana sio kwa kipinga huku maendeleo hahaha chadema mmebaki Facebook jamiforums na Instar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza mkuu... Huu mwaka ukipita tutajua mbivu na mbichi.

Tutajua nani anapigajia nchi na nani anapigania tumbo lake.

Back
Top Bottom