nchi

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal asema nchi hiyo hairuhusu ushoga

    RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia moja, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau. Mataifa 28 kati ya 49 yaliyoko Kusini mwa janga la Sahara yameweka sheria zinazopiga marufuku shughuli kama vile ushoga na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin asisitiza kutoruhusu ushoga, asema ndoa ni kati ya mwanamke na mwanaume tu

    Huku hakuna cha haki za binadamu kupiga Kelele. Jamaa amesema na wala hutasikia vikwazo kutoka Marekani. Huku hakuna wambea wa kusafiri kwenda marekani kupeleka umbea, ukienda ujue ukirudi kifo ni haki yako. ===== (AFP) – MOSCOW: Russian President Vladimir Putin on Thursday stressed that...
  3. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiukweli Marais wastaafu wa Tanzania ni wanyonge wenzetu, utajiri aliouacha Moi Kenya unadhihirisha ubepari wa nchi hiyo!

    Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv. Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana. Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Corona kusababisha kafara la nchi?

    Dunia kwa sasa imepigwa na bumbuazi kutokana na virus wanaoitwa Corona. Wapo wanaodai huenda vikawa ni mambo ya kuharibiana kibiashara kwa kuamini ya kwamba huenda ikawa Corona ilitengenezwa na Wamarekani ili kuchafua biashara ya China na wapo wanaoamini ya kwamba ni miongoni mwa mapigo ya Mungu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mharibu nchi, ni mwananchi mwenyewe

    Hakuna shaka juu ya huo msemo, mwananchi mwenyewe ndio mwenye uwezo wa kuijenga na kuiharibu nchi. Hata kukitokea mgeni kutaka kuharibu nchi ni lazima apitie kwa mwananchi mwenyewe Nimeona bandiko la Mjomba Paskali kuhusu alichokiita Security Alert. Alichoandika Paskali kilitakiwa kuonwa na...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Mafisadi waiingilia idara ya usalama ya Botswana , wataka kumuua Rais Mokgweetsi Masisi ili kupora rasilimali za nchi hiyo

    Raisi Masisi akila kiapo wakati akiapishwa kuwa raisi wa Botswana mwaka 2018. Picha na AFP Maisha ya raisi wa Botswana Mokgweetsi Masisi yako hatarini baada ya mafisadi wakishirikiana na baadhi ya raia wa kigeni wenye uwezo wa kifedha kutoka nje ya Botswana kupanga kumuua kiongozi huyo. Mpango...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

    Maria Sarungi: Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet! @ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania Zitto...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ahofia kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kufungwa pindi atakaporejea nchini

    Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maaskofu na watumishi wa Mungu mjitafakari sana kuhusu siasa za nchi yetu!!

    Wanabodi za asubuhi! Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na mitume!!Nakumbuka kisa cha nabii Eliya cha kutabiri kutokunyesha mvua miaka mitatu na nusu kutokana na taifa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

    Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka. Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda alipokuwa anatenda uhalifu wake viongozi wakuu wa Nchi kama Rais na Waziri Mkuu hawakuwa na Taarifa? Hawakujua ama hawakufahamu?

    Ikiwa kama Paulo Makonda ametenda unyama uliotajwa na Serikali ya Marekani na ambao umepelekea kudhalilisha nchi yetu kuliko ilivyowahi kudhalilishwa tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi, nina swali dogo sana la kuuliza. Je alipokuwa anatenda uhalifu huo viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Rais...
  14. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wetu hawajui kuwa Tanzania ni nchi kubwa sana Kimataifa! Tanzania ina rekodi ya kipekee Duniani bado haijavunjwa!

    With due respect, naomba niseme kuwa Tanzania viongozi wengi hawajui ukubwa na umuhimu wa nchi ya Tanzania kwenye jicho kuuu la Ki mataifa. Naomba niwakumbushe yafuatayo: Rais Bill Clinton akiwa madarakani aliwahi kutembelea Tanzania Rais Bill Clinton akapokelewa kijiti na Rais George Bush...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Zijue mbinu anazozitumia Marekani kukandamiza nchi masikini ili aendelee kupora rasilimali zake

    Waswahili husema: "kama humjui shetani anza kupata maendeleo". Taifa la Marekani limejengwa katika misingi ya damu na roho za watu! Wenyeji wa nchi ya Marekani ni "Red Hindis". Hawa wenyeji waliuwawa vifo vya maangamizi "extinction" na waliosalia ni kwaajili ya kumbukumbu ya historia kwasabahu...
  16. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Je, ni viongozi wa Chama na serikali waliowahi kuwekewa vikwazo vya kuingia nchi za nje?

    Kutokana na hili la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kuzuiliwa kuingia Marekani, watu waengi wamajitokeza kila mmoja akileta mawazo yake juu ya jambo hilo. - Wengine serikali ipige marufuku wamarekani kuingia nchini - Rais atoe tamko - Marekani imevunja sheria ya kidiplomasia na mengine mengi...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55? Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali. Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi...
  18. Kifwimbo

    JamiiForums Tanzania Natia nia ya kugombea uongozi kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    🖐NAMI NATIA NIA🖐. Nianze kwa kuwapa pole ndugu zetu wa mikoa ya Lindi,tabora,Dodoma na maeneo mengine ya nchi kwa maafa ya mvua zilizopita kiwango na kusababisha maafa pole sana Ndugu zangu mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwapa subra katika kipindi hiki kigumu. Najitokeza hadhari mbele ya...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rwanda yasema itafungua mpaka wake na Uganda pale itakapojisikia kufanya hivyo na wala sio kwa kushurutishwa na watu wala nchi yoyote

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, alisema Jumatano kwamba serikali yake itafungua mpaka na Uganda wakati itajihisi kufanya hivyo akisisitiza kwamba hakuna mtu wala nchi yoyote itamshurutisha kufanya hivyo. Akihutubia mabalozi katika mkutano wa kila mwaka na waakilishi wa nchi za nje pamoja na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi uongo unavyoonekana kuwa sehemu ya Uongozi wa nchi kwa sasa, basi napendekeza Serikali iwe na Waziri wa Propaganda

    Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu! Mimi naona ni vema basi...
Back
Top Bottom