mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,906
- 5,085
Jamani zamani TBC ikijulikana kama radio Tanzania ilikuwa haipatikani maeneo mengi ya nchi badala yake ilikuwa rahisi kuipata KBC kwa hiyo wasanii na watangazaji wa Kenya wakawa maarufu sana kuliko as Tanzania. Akina mahoka, vipindi vya huu sio uungwana, kina baraza, etc. Na bidhaa zao sabuni na mafuta ya kupaka.
Enzi hizo Kenya walitubeba sana. Kina mtukufu arap moi. Mitumba yote lazima ipitie Kenya. Nikikumbuka hayo maisha kweli naamini Mungu huwa ana mipango yake mpaka Leo Kenya wanapiga chabo kwetu! Yaani ulikuwa ukisafiri kutoka dar mwanza au bk lazima uzungukie Nairobi katikati vumbi na mahandaki kama yote.
Watoto wa wenye vihela lazima ilikuwa wasome Kenya na Uganda. Shilingi imepunduka sasa wao ndo wanapiga magoti sasa, hivi ni kuwa sisi ndo tumepiga jitihada au wao wamezembea au ni mipango tu ya Mungu?
Natamani hiyo 2025 ifike haraka.
Asante Serikali za Tanzania kweli mmejitahidi sana.