Angalia hapa:Watanzania tunamuabisha Samatta na kuiaibisha nchi

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
Haya mambo ndo yanaiweka nchi kwenye lowest IQ countries sasa hebu Soma hii post ya cafonline eti wabongo wamejibu "Samattaa"
samata.jpg
samatatz.jpg
 
Wabongo hao wangapi si mmoja tu! Halafu hata kuandika hivyo, ni kawaida kwenye page tofauti tofauti watu wanaonesha mapenzi kwa watu wao!
Ni kweli hajajibu swali, ila kaonesha katika hao yeye mapenzi yake yapo kwa samatta, na jin

Ishu ndogo km hii ndio umekurupukia kuanzisha uzi
 
hili ni suala la mtazamo. ungemuuliza kwanza ana maanisha nini ndo uje kubinuka humu.

Lowasa aliposema kipaumbele chake ni 1.Elimu 2. Elimu 3. Elimu,alimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom