Uchaguzi 2020: Watanzania mnaokaa nje ya nchi acheni uzembe, rudini kuchagua Rais na viongozi wengine

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Dada na kaka zangu mlio nchi za nje, mtapoteza haki yenu ya kuchagua viongozi hadi lini, jitahidini mrudi nyumbani Tanzania October hii mpige kura ili muache kulalamika kwa kuchaguliwa viongozi msiowataka.

Mkija msitusahau kuja na zawadi ya Pizza na baga,pia mje na wajomba na shangazi wetu (Watoto wenu). Waje waone mabadiliko makubwa kama reli ya Sgt, Mbuga za wanyama kama Ngorongoro, Nyerere national Park, Daraja la Mfugale na Dada zetu warembo.

Maoni.
 
Watayopigia ubalozini inatosha, kwa nini wachome nauli? Labda kama wanakuja kusalimu ndugu zao.
 
Back
Top Bottom